Wapemba na Tanesco

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
nimetembelea ofisi nyingi za tanesco nyanda za juu kusini mbeya,songea,iringa,etc,nimegundua kuna wafanyakazi wengi sana wa tanesco kutoka zanzibar wasio na viwango vyovyote vya elimu na inaonekana hawakumaliza hata elimu ya msingi,napenda kujua inakuwaje wazanzibar ndio wengi waajiriwe na tuna vijana wetu kibao wapo mitaani na degree zao hawapewi ajira??hata kama ni kusoma mita hawa degree holders watakubali kufanya hiyo kazi kwa sababu ya matatizo ya ajira,je kuna mpemba pale head office anayefanya kazi ya kuajiri wapemba wenzake?hivi watanganyika waliopo pale head ofisi hawaoni hilo?au ni mpango wa serikali kuleta haki sawa kwa wote?kama ni hivyo kwa nini uajiri tabaka fulani la watu peke yao?
 
Back
Top Bottom