Asimikwa kuwa chief wa kabila la........

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Of latest nimesikia kuwa makambu wa raisi kasimikwa kuwa Malafyale uko Rungwe,while uko Rukwa pia last week.

Kama iyo ya Rungwe kasimikwa kwa kipi hasa alichokifanya maana nimegundua huu umekuwa kama upepo unaosambaa.
Na sasa yuko iringa utasikia wahehe nao wanampa uchief.

Kama kuna anayefahamu vigezo vinavyotumika kuwasimika hao watu pls tufahamishane bse to me some do not even deserve kuwa ata mabalozi wa nyumba kumi sembuse uchief!

Huo wa Dr Bilal ni mfano tuu but kuna utitiri wa viongozi wanapewa hiyo heshima wasi wasi wangu isije ikawa wanapewa laana badala ya heshima as huwezi kuwa chief wa makabila almost yote Tz
 
MAKAMU WA RAISI.jpg Iyo ilikuwa mbeya kazi kweli kweli wana rungwe wampa uchief
 
Of latest nimesikia kuwa makambu wa raisi kasimikwa kuwa Malafyale uko Rungwe,while uko Rukwa pia last week.
Kama iyo ya Rungwe kasimikwa kwa kipi hasa alichokifanya maana nimegundua huu umekuwa kama upepo unaosambaa.
Na sasa yuko iringa utasikia wahehe nao wanampa uchief.
Kama kuna anayefahamu vigezo vinavyotumika kuwasimika hao watu pls tufahamishane bse to me some do not even deserve kuwa ata mabalozi wa nyumba kumi sembuse uchief!
Huo wa Dr Bilal ni mfano tuu but kuna utitiri wa viongozi wanapewa hiyo heshima wasi wasi wangu isije ikawa wanapewa laana badala ya heshima as huwezi kuwa chief wa makabila almost yote Tz

Hujui chaguo lingine la Mungu hili...ndio kampeni hizo..
 
View attachment 48276
nazani shuhuli ilikuwa kama hivi

Naomba sote tuimbe wimbo huu,NAKUPENDA TANZANIAAAAAA! Unaweza kuwa msomi mwenye Ph D lakini ujasiri huna.MAANA YAKE UNAWEZA KUWA WON NA MASS FOR THEIR INTEREST UKAWA ***** TOZA MTONI.BILALI NI ***** NDIYO WAZENJI HAWALITAKI JITU HILI,HATA HOTUBA ZAKE NI SAIZI YA STD 2 OF THE CURRENT STANDARD.BOYAAAAA SIKUNDA
 
Kwa kuwa yuko iringa tungoje wabena wakinga na wahehe wakimpa uchief maana inaonekana ni kampeni ya kusimikana
 
Back
Top Bottom