Mkuu wa wilaya igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa wilaya igunga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TWIZAMALLYA, Feb 27, 2012.

 1. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanajamiiforums wenzangu naomba kupewa updates za ile saga ya mkuu wa wilaya ya igunga pale alipovuliwa hijab yake. Maana ilivuta hisia za watu wengi sana na makundi mbalimbali katika jamii.Waislamu walilichukua hili swala kwa uzito mkubwa.Kikubwa ni kwamba issue ilienda mahakamani.kwa mwenye data anipe mwenendo wa kesi hiyo ukoje na wale ndugu zetu waislamu walifikia wapi na swala hili.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,476
  Likes Received: 19,872
  Trophy Points: 280
  uchaguzi umeshaisha ..
   
Loading...