hii imetokea huko Ukonga maeneo ya Moshi bar wakati wa msiba wa mama mmoja aliyekuwa ametelekezwa na mumewe kufariki. baada ya maiti yake kuwasili nyumbani toka hospitali kwa ajili ya taratibu za...
Faustine Ndugulile
Napenda kuwafahamisha kuwa wire wa kusafirisha umeme 33kv B-phase unaovuka bahari kutoka Kurasini kwenda Kigamboni umekatika upande wa Kigamboni saa 10:10.
Hivyo Kigamboni...
Baada ya kuunda chama chake cha kisiasa, sasa ni wazi Hamad Rashid atabaki nje ya bunge. atabaki kuhonga medai ili sauti yake itoke
Sijui Jimbo gani anaweza akasimama na kushinda.
Jimbo la wawi...
Tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi wa wabunge jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kutokea kifo cha muheshimiwa Sumari, lilijitokeza dosari moja kutoka kwa wanaojiita wazee wakimila wanaojulikana...
Leo DSM hapa tunapopaita City centre, yaani hapatamaniki. Baada ya kunyesha mvua kwa takriban lisaa limoja, kila kona naona chemba zinatema maji machafu! Kwa sisi tusio na usafiri binafsi kwa...
Raisi nakumbuka aliahidi atamchagua mwanasheria maarufu na mkongwe kufanya mchakot wa katiba
chale zimencheza huyu jamaa anaweza akapewa commitee cz ye ndo alitunga sheria ile ya kwanza ya...
Inashangaza chombo cha habari kikubwa kama ITV kinalikosea kuliandika jina la Mwenyeketi wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mkuu Mstaafu Damiani Lubuva na kumwita Damian Luduva. Hili nimeliona katika...
Hata kama huyo mtu alikuwa tapeli au mwizi, ndiyo afanyiwe unyama kiasi hicho?
Yaani kweli hayo makosa aliyotuhumiwa yanastahili hiyo adhabu aliyoipata?
Tena mbele ya chombo cha habari mtu...
Habari wana jf!
Nimekua nikipita maeneo mbali mbali karibu kila mkoa nimekua nikiona kuta za nyumba au majengo mbalimbali vimewekewa alama ya X nyekundu, yawezekana kuna waliokumbwa humu jf...
Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi? Fikiri;
1. Matumizi nyumbani; chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni.
2. Ada za watoto zinazolingana na za chuo...
Kama wiki tatu zilizopita nilikuta taarifa ya habari za biashara ya TBC ya saa 2 usiku inaishia. Kuna kinywaji kipya kinachotumia maziwa na vanilla ambacho kilikuwa kimezinduliwa, ila sikuweza...
Wadau Meli hiyo imekwama tangu jana usiku. Ilikua ikitokea Unguja kwenda Pemba. Ilikosea njia na kukwama kwenye eneo la Matumbini karibu na bandari ya Mkoani Pemba.
Taarifa tulizopata abiria...
Kuna habari kuwa kwasasa mafuta ya petrol na diesel yamekuwa bidhaa adimu sana Visiwani Zanzibar.Bei ya ulanguzi ya nishati hiyo imefikia shilingi elfu sita kwa lita badala ya bei iliyokuwepo...
Wakati kipindi hiki kinaanza niliona kama kinalenga kusaidia jamii na watanzania kwa ujumla.Lakini kadri tunavyoenda naona kinapoteaza mwelekeo na mvuto maana kama ni cha kuwajenga baadhi ya...
Breaking news toka Kili Fm ni kuwa ndege ya abiria imeanguka na kuua. Sikupata kuisikiliza habari hii kikamilifu kwani mtoto alikuwa anasumbua. Mwenye full habari atujulishe how it happened.
Kuna wadau wako eneo la tukio wanasema basi la kampuni ya Zakaria lilikuwa linatokea Mwanza kwenda MUsoma limechinja na kuua watu na majeruhi kibao baada ya kugongana na mchomoko (Noah).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.