Ya mapalala ndio haya ya Hamad Rashidi, atabaki historia ktk siasa za Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya mapalala ndio haya ya Hamad Rashidi, atabaki historia ktk siasa za Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Mar 1, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Baada ya kuunda chama chake cha kisiasa, sasa ni wazi Hamad Rashid atabaki nje ya bunge. atabaki kuhonga medai ili sauti yake itoke
  Sijui Jimbo gani anaweza akasimama na kushinda.

  Jimbo la wawi. Hapa sijui ajiunge na Chama gani hata akubalike tena
  jimbo la kinondoni. Hapa ndio kabisa, Mpemba hawezi kupewa Jimbo.
  Unguja Mjini. Huku hata arudi CCM. kura za maoni tu amwagwa.
  Atabaki kukusha kwenye vyumba vya media ili sauti yake isikilikane
  yuko wapi mapalala?
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Mkuu afadhali hata Hamad Rashid tunamuelewa kwa matamshi yake.
  CUF sikio la kufa, haijulikani inasimamia nini zaidi ya ubaguzi wa kidini , wa rangi hata jinsia.
  Mara mia Hamad Rashid kuliko CUF ya Maalim Seif.
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Afadhali wewe umeliona hilo,Kunguru Mweusi mpaka leo hajui waTanganyika wameshamstukia Maalimu na siasa zake za ukaburu.

   
 4. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Ni kweli anayo kazi kubwa na siyo yeye tu ni kwa wale wote wanaoanzisha chama/vyama ktk mazingira kama haya ya kisiasa. Ukiangalia hivi vilivyosajiliwa ni CHADEMA tu ambayo inaonekana ikikua na kupanuka na wengi wa wanachama wake wakiwa ni vijana.
   
 5. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unaruhusiwa kuota japo sina hakika kama makunguru huwa yanaotaga. Kwanza elewa kwamba hamad rashid ni mbunge wa cuf jimbo la wawi na kesi atashinda, pili pemba hii sio ile unayoifikiria wewe kwamba ni cuf cuf cuf, zama zishapita zile hasa baada ya mungu mtu sultani kuvuliwa nguo hadharani na HR, hakuna siri tena, wenye utimamu wao washameguka na soon ADC ikipewa usajili ndio utajua mbivu na mbichi.
  Kwa coment yako nawe unaonyesha unavimelea vya kibaguzi, na mwisho wakti ukifika basi nina hakika HR atang'atuka CUF (sio kufukuzwa) na kurudi bungeni kama mbunge wa wawi kwa tiketi y ADChange...:ballchain:
   
 6. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Kweli we KUNGURU MWEUSI !!!
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  ukistaajabu ya mapalala utayaona ya hamad rashid
   
 8. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Usikurupuke kuandika mitandaoni usichokielewa njoo huku Pemba ufanye utafiti wa ulichokiandika hapa kama kina ukweli au la! Je una habari kama Jaji Agustine Shangwa juzi aliingia mitini!!?
   
Loading...