Natafuta jina la City Centre leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta jina la City Centre leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WALIMWEUSI, Mar 1, 2012.

 1. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Leo DSM hapa tunapopaita City centre, yaani hapatamaniki. Baada ya kunyesha mvua kwa takriban lisaa limoja, kila kona naona chemba zinatema maji machafu! Kwa sisi tusio na usafiri binafsi kwa kweli ni tatizo kubwa. Inatulazimu kukanyaga ki***si, dah yani kichefuchefu tupu.

  Nataka kuipa jina siku ya leo, je, its kin***i day in Dar?
   
 2. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Thubutu yako!!!! enzi za Mchonga hapakuwa na watu holela Dar!,,,, ukija mjini laziam balozi ajue data zako, la sivyo unarudi ulikotoka,, siku hz mijitu imejaa mjini bila sababu na bila mpangilio
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Hapo mbona siku zote panajulikana kama "Mchafukaoge" aka "Mchafukoge"

  No wonder

  mchafukoge dar es salaam - Google Maps
   
Loading...