Breaking News: Meli ya MV Maendeleo yakwama kwenye tope (adrift) huku ikiwa na abiria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking News: Meli ya MV Maendeleo yakwama kwenye tope (adrift) huku ikiwa na abiria

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by silent lion, Mar 1, 2012.

 1. s

  silent lion JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 526
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Wadau Meli hiyo imekwama tangu jana usiku. Ilikua ikitokea Unguja kwenda Pemba. Ilikosea njia na kukwama kwenye eneo la Matumbini karibu na bandari ya Mkoani Pemba.

  Taarifa tulizopata abiria hao zaidi ya 400 washaanza kuokolewa na boti za KMKM.

  Meli nyengine ya Mv Jitihada iko njiani kuelekea eneo la tukio.

  Meli ya Mv Maendeleo inamilikiwa na SMZ.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mungu saidia hawa watu.
   
 3. M

  Mwera JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tumuombe mungu abiria wote waokolewe salama amin.
   
 4. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,159
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mungu awape ari waokoaji na faraja waokolewaji.

  Helkopta za majeshi yetu huwa zinafanya shughuli gani?
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,260
  Likes Received: 4,244
  Trophy Points: 280
  nawaombea waokolewe wote
   
 6. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 1,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  ah jamani whats goin on ? mbona kila siku sisi?
   
 7. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,181
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nikisema mi sikatizi majini mtanicheka! ILA MIMI MELI SIJUI BOATS SORRY! We niache tu ka vipi maji yakijaa utanikuta ufukweni!
   
 8. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu tunakuomba ubariki shughuli nzima ya uokoaji na uwanusuru jamaa hawa
   
 9. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,227
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jaman meli tena!!! hv hakuan namna waongoza meli wanaowasiliana na nahodha kuwa apite wapi wapi asipite km ilivo kwenye ndege!
  Eee mungu wanusuru waja wako na wote wapate kuokolewa humo melini.
   
 10. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tenda muujiza wako Bwana watu wako waokolewe wote..Amina.
   
 11. s

  sanjo JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 937
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kuna umuhimu wa pekee kuimarisha Kurugenzi ya Ukaguzi wa Vyombo vya Usafiri. Mola waokoe wasafiri wote.
   
 12. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Tutaunda tume ya uchunguzi
   
Loading...