Wanawake watishia kuwachape wanaume viboko!

herimimi

Member
Aug 4, 2011
62
10
hii imetokea huko Ukonga maeneo ya Moshi bar wakati wa msiba wa mama mmoja aliyekuwa ametelekezwa na mumewe kufariki. baada ya maiti yake kuwasili nyumbani toka hospitali kwa ajili ya taratibu za mazishi, wamama walichachamaa dhidi ya wanaume na kuamua kusimamia shughuli zote eti kwa vile mme alimtelekeza marehemu. wamama hao walitishia kumpiga viboko mwanaume yeyote ambaye angewazuia kutekeleza dhamira yao. ilibidi wanaume wakae kando wamama wasimamie kwa kutii amri. wamama walibeba jeneza katika hatua zote hadi kupeleka mwili airport.
hili ni funzo kwa wanaotelekeza familia zao.nawasilisha.
 
Kuwachapa viboko watoto wa wanawake wenzao...........tumekuelewa muwasilishaji
Wababa tukae chonjo they are no longer "sleeping giants"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom