Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Angalizo tu wale wapenzi wa maziwa kuna maziwa yana expire 7march tsn supermarket nimepita leo naona yemsheehni mengi tu si mbaya muda bado ila nawaasa muwe makini maziwa hayo aina ya lacnor...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ni mtandao umezidiwa ama??jamani tangu jana napiga naandikiwa error connection nikipigiwa nakuwa kama nimebipiwa alafu mtu anatuma msg mbona simu yako inakata hivi mna matatizo gani jamani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesikia kwa mbali bahati bukuku akitumbuiza ndani ya kanisa la kkkt usharika wa Kiboriloni na nilipokwenda kuchungulia kwa ndani namuona kamanda mh Ndesa(MB), Owenya(MB), Lucy(MB) na comrade...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau napenda kujua hivi mtu mpaka unashiriki kipindi cha malumbano ya hoja kipindi cha itv....wanangalia sifa gani....maana kuna kipindi kimerushwa leo na mada ambayo imenigusa ya polisi kuua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa jina la Rahmani, Mola aso na mfano, Naingia uwanjani, kwa beti kumi na tano, Lengo langu si utani, wala mengi malumbano, Nakumbushia ahadi, za viwanda kwetu Tanga. Wakati wa kampeni,viwanja...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Yaani nasikia kichefuchefu nikiona vijana waliosoma na kufika chuo na kudai wanaomba kuelezea hisia za chama chao na wanaitaji chama cha aina gani embu wasikilize hao nao kama misukule ya ccm...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtanzania ukimwambia mkae mjadili umbea na majungu hata kama DUME ZIMA mtakesha, sasa mwambie mjadili mambo ya msingi mfano watoto wa mitaani tuwasaidieje? Utashangaa majibu yake yooote kwenye...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
jamaa amekua na tendence ya kunitumia text za usiku mwema, zaidi ya mara nne kwa wiki. Its not common kwa wanaume kutumiana msg za lala unono. Najiuliza ''is he gay?'' maana si kawaida mambo haya.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ama kweli leo,ndio nimekubali kuwa samaki mmoja akioza wote lazima waoze,leo ktk makutano ya barabara ya mandela na nyerere(tazara)kuna trafiki wa kike yuko pale,ameamua kutoruhusu magari...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika kikao cha madaktari ambacho kinaendelea katika ukumbi wa water front wametoa rasmi tamko la kuendelea na mgomo ifikapo j'5 saa2 asbh kama baadhi ya maazimio yao hayatakuwa yametekelezwa na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Jamani kuna mambo ambayo ni ya kistaarabu kabisa lakini mtu akiyafanya huonekana mshamba machoni pa wajinga na hata kuchekwa.Leo nimepanda daladala kutoka kariakoo kuelekea mbezi,kwakuwa ilikuwa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
wana jf siku zote nilikuwa nasikia kuwa tigo ni wezi sikuamini ila leo nimejionea,niliweka vocha ya shs 3000,mara ghafla nikaugwa na sms 100 dk mbili baadaye mb 25 kwa 450 kidogo tena sms 15,nusu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
leo majira ya saa mbili kasoro mpaka saa mbili na nusu nimethibitisha kili nilichokua nakifikiria kila wakati ninapokuta foleni kubwa barabara ya mandela. maeneo ya songas kuna u turn. Ilikua gari...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Dear br joe kwanza hongera sana sana kwa kuingia mikataba yenye akili na kupata opportunity zaidi za kufanya mampo mengi nje ya mambo ya media nimewiwa kusema hili kwanza nawapongeza kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
M nimpenzi mkubwa wa mahubiri jamani hivi karibuni kumekuwa na namba zinapitishwa wakati wahubiri wakihubiri nimekaa nikajiuliza hivi hizi namba za tigo pesa/mpesa ni za nini?? Nimejaribu kusoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ajali imetokea maeneo ya kwa mbonde baina ya coasta mbili za abiria jioni hii. Takribani watu zaidi 10 wamekufa palepale maiti na damu nyingh sana. Nimeshuhudia.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
JIONI HII NIMEONA MAAJABU NA JINSI WAJINGA WANAVYOWEZA KUWAONA WEREVU WAPUMBAVU WAKATI MECHI KATI YA MANCHESTAER CITY ILIKWISHA ZAIDI YA NUSU SAA NAFUNGULIA ATN WAO WANAFANYA UCHAMBUZI WAKATI WA...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Pengine asilimia kubwa ya mgomo naiona inakuja kwa kuwa masharti yao kwa huyu rais wenu ni shida tupu ukiangalia mizigo yenyewe anaichagua yeye mwenyewe umoja wama dk umetangaza mgomo ifikapo j5...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MADAKTARI huenda wakagoma tena baada ya kikao kati ya serikali na madaktari hao kuvunjika kutokana na kutokuelewana. Hali hiyo imejidhihirisha baada ya kutokea kutoelewana baina ya wawakilishi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
lengo halisi la lile tamasha.mara nyingi huwa nasikia na wasanii wa nchi mbalimbali huwa wanaalikwa.na kwanini bendi zetu maruufu za kibongo huwa hazialikwi zianaenda bendi ambazo hazina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom