Nilibahatika kumsikiliza Raila Odinga waziri mkuu wa Kenya wakati wa mazishi ya Njenga Karume Mfanyabiashara mashuri na mwanasiasa wa Kenya ambapo ameorodhesha maadui wa maendeleo kuwa ni
1...
Kwa wenye udodondozi embu tupatieni njia ya kupata bia za kichina
nahisi zitakuwa nzuri na tamu sana ukilinganisha na bidhaa zaow anazotuletea
si hivyo naamini hata bei nazo zitakuwa za kichina...
Huwezi kuamini kama Soko hili ni hatua chache tu kutoka uzio wa Ikulu yetu, je Ikulu haionji adha ya kufukiwa na moshi kila leo na kwa nini matengenezo hayafanyiki kutokana na soko hilo kuungua...
chaguzi zinazoendelea hivi sasa hapa Kagera katika vyama vya ushirika vya msingi vinavyounda KCU 1900 LTD. Zimegubikwa na mizengwe na rushwa kiasi cha kufanya chaguzi hizo kuwa mpakazo husio na...
Mkuu wa kaya watupeleka wapi?Unawezaje kubagua raia kwa kuwatoza kodi na wengine kuwasamehe? Bei ya petrol haichagui unafanya wapi kazi. EBU ONA WARAKA HUU!
Technology....
Hii kauli inarudiwa mara kwa mara na luninga ya Emmanuel TV. Huwa inaelezea jinsi Africa ilivyo na utajiri wa asili,tofauti na Ulaya na Amerika. Lakini nchi za ki-Afrika huuza...
'Torture' video shows 'Gaddafi's black African mercenaries locked in a zoo cage and force-fed flags by Libyan rebels'
Footage of captured mercenaries suspected of fighting for Gaddafi regime...
Mabaki ya Toyota Noah yakiwa yamepakizwa kwenye kwenye lori katika Kituo cha Polisi Nyanguge kwa ajili ya kupelekwa makao makuu ya Jeshi hilo Mkoa wa Mwanza.
Taifa limepatwa na janga kubwa...
Jumatatu niliweka pesa kwenye account yangu ya M-pesa Tsh. 150,000/= ila sikupata meseji kwamba nimeongezewa pesa na huyo wakala, nilipomwambia sijapata Msg akaniambia yeye amepata hivyo niangalie...
ndio waheshimiwa wenzangu bila shaka ni wengi wetu tuko salama. SWALI LANGU NINAPENDA KUFAHAMU KUHUSU KIPINDI KINACHOONGOZWA MA ROSEMARRY MWAKITWANGE CHA TANZANIA TUITAKAYO MBONA KIMYA CKU HIZI...
Habari nilizozipata toka ndani ya mahama,watumishi wake wote hawajalipwa mshahara mpaka leo,je sisi ambao tuna kesi tukienda mahakamani hawatatuomba rushwa?
our country has so many investment opportunities from natural resources tourism to agriculture.the only thing that we need is for the government to put the right strategies that will expose the...
Jana ndugu H.Mponda amekabizi magari kazaa kuhudumia watanzania wenye matatizo yadharura kama ajari ,mjamzito na mgonjwa mahututi,je ujio huo mnaupokeaje?
Habari wanajamvi,
hivi inachukua muda gani kwa Tanesco Emergency kufia eneo la tukio?
Maana mtaani kwangu toka jumatatu kwenye nguzo panatoa cheche binafsi nimepiga customer care, na tanesco...
Jaramba maeneo haya ya mikocheni,jana mtu kachomwa moto hapa REGENT KAIRUKI,LEO KAOKOLEWA MWENGINE KUMWAGIWA PETROLI MAENEO HAYAHAYA....KARIBU NA CHUO CHA MLIMANI CHA MAWASILIANO YA UMMA,DUUH...
Wanajadili kuhusu ununuzi wa mali na huduma za uma na changamoto zake.wageni ceo ppra na chair wa Board ya ppra.wengine ni mkandarasi bocco na hpmu wizara ya elimu.
wachangiaji wako vizuri...
WanaJF
Nimepata habari kuwa mkutano uliopagwa kati ya madoctor na serikali kesho 03.3.2012
umearishwa baada ya serikali kutekeleza matakwa yao
Dr Ulimboko naona kanywea hana maneno sasa
Asante...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.