Watangazaji Radio One wahamia Clouds FM!

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,832
630
Watangazaji wa Radio one na ITV Bi Regina Mwalekwa na Milad Ayo wameacha kazi na kuna tetesi wanahamia CLOUDS Fm.
 
mhasibu wa idara ya utumishi amehamia NGO inayehusiana na mambo ya kilimo na agroeconomics mijini arusha
 
let them search for more green pastures, kwani nyie hamjawahi hama

kila la heri huko muendako,
 
Watangazaji wa Radio one na ITV Bi Regina Mwalekwa na Milad Ayo wameacha kazi na kuna tetesi wanahamia CLOUDS Fm.

Sababu za kuhama
1:Mazingila ya kazi
2:Ubovu wa management
3:Masilahi finyu
4:Unafaidika vipi au kampuni inakupa nini kwa kukuhudumia mbali na mshahara eg,matibabu,usafiri,house rent etc

 
Hamjui tu! Tasnia ya habari Bongo ni wito kama ualimu! Ndio maana John Dilinga anafanya kazi kwa contract tu na proposal ya contract anaitoa yeye ukitaka sawa hutaki hewala lakini bado hailipi!!
 
Back
Top Bottom