Wakati kipindi hiki kinaanza niliona kama kinalenga kusaidia jamii na watanzania kwa ujumla.Lakini kadri tunavyoenda naona kinapoteaza mwelekeo na mvuto maana kama ni cha kuwajenga baadhi ya wanasiasa.Mwenyeji (bila kujali lengo la kuanzishwa kwake na anaekifadhili) anakuwa haulizi maswali chokonozi badala yake anauliza majibu.