Basi la Zakaria lachinja Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la Zakaria lachinja Mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Igabiro, Feb 29, 2012.

 1. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna wadau wako eneo la tukio wanasema basi la kampuni ya Zakaria lilikuwa linatokea Mwanza kwenda MUsoma limechinja na kuua watu na majeruhi kibao baada ya kugongana na mchomoko (Noah).
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,361
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Pole majeruhi wote,nami nimesikia tbc one lakini wameshindwa kutoa ufafanuzi wa ajali hata picha.Yaani mkuu wewe umetoa japo mwanga wa kilichotokea.
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nimesikia watu 8 ndo wamefariki
   
 4. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hayo mabus yanaendeshwa rafu sana,nilishawahi kupanda mwaka jana,yaani shida tupu!poleni sana wahangwa,Mungu azilaze pema roho za marehm
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,132
  Likes Received: 6,624
  Trophy Points: 280
  Mbaya sana, poleni wafiwa wote, R.I.P mliotwaliwa kwa makosa yanayotokana na uzembe wa madereva.
   
 6. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  R.I.P !:hatari:
   
 7. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  poeni sana wafiwaaa
   
 8. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni kwamba inasemekana mchomoko ndio yenye makosa coz ililifuata basi kubwa, hapohapo Zacharia ikaipandilia ile mchomoko,
  mchomoko ilikuwa na jumla ya watu 9, na 8 kati yao wamekufa na aliye baki ni Dreva tu nae hajitambui yuko mahututi BUGANDO,
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  hiyo migari ya zakaria na maita wanakibri hatari!
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  mchomoko wa kwenda magu au lamadi vinakimbia kama upepo ni hatari tupu!
   
 11. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,582
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Yani habari kama hizi zinafikia hatua unataka uishie kwenye tittle tu na hivi nipo safarini,
  wapumzike kwa amani wote waliotangulia na majeruhi wapatiwe msaada wa haraka iwezekanavyo kunusuru uhai wao uliowekwa rehani na madereva wazembe.
   
 12. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Kwa nini serikali haipigi marufuku noah kubeba abiria?yaani hizo noah ni hatari sana zinakimbia sana wakati hizina balance,R.I.P marehemu wasio na hatia.
   
 13. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amewashika polisi wote kanda yaziwa. Huyu ni tajiri Chacha Zakaria, mwaka 2005 aligombea udiwani akapigwa chini na kijana mdogo toka chuo cha SAUT.
   
 14. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  R.I.P wote waliofikwa na mauti!Michomoko!!umenikumbusha Nyamongo!
   
 15. k

  kev Senior Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi TBS pamoja na hii wizara ya uchukuzi kwanini wanaruhusu hivi vikopo vya castle kubeba abiria?ni nani anaetoa leseni kwa hizi noah kubeba abiria?yaani zinavyokuja kwa kasi nadhani zitapita hata toyo kwa ajali.waliotutoka RIP
   
 16. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  polen wahangwa namungu azipumzishe roho za marehemu na kuwaponesha majeruhi amen
   
 17. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  alishindwa na John Heche wa Chadema
   
 18. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Vifo hivi hadi lini?
   
 19. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  noah ndo mwenye makosa,alipiga u turn ya ghafla akidhani ataiwahi lakini wakakutana uso kwa uso na zakaria.watu watano wote waliokuwepo kwenye noah wamefariki
   
Loading...