Ajali ya ndege KIA

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Breaking news toka Kili Fm ni kuwa ndege ya abiria imeanguka na kuua. Sikupata kuisikiliza habari hii kikamilifu kwani mtoto alikuwa anasumbua. Mwenye full habari atujulishe how it happened.
 
I am failing to figure out if this is true "jukwaa la siasa". Au umeona watu wengi huja hapa so huwezi kukosa wa kusoma hii habari?? Ni habari za kusikitisha, kama ni kweli zimetokea, lakini si habari ya kisiasa. Everything with its time and plaace!!
 
Jamani kama ni kweli tupe habari, je ni ndege ya shirika gani, ilikuwa na watu wangapi, ilikuwa inatokea wapi, je imetokeaje, watu wangapi wamefariki na je kuna waliopona?
 
...kuna mtu aliota humu kuhusu ajali ya ndege!

Jamani, sio kwamba nimeota ajali ya ndege. Ni kweli ndege imeanguka KIA na kuua, ila kama hamuamini, subirini taarifa ya habari saa mbili usiku.
 
Jamani, sio kwamba nimeota ajali ya ndege. Ni kweli ndege imeanguka KIA na kuua, ila kama hamuamini, subirini taarifa ya habari saa mbili usiku.

Kawaida huwa wanafanya simulation za emergency preparedness wakishirikisha kcmc na mawenzi hospital kama sehemu ya maandalizi. Ngoja tusubiri na mie nimesikia Kili fm wamesema quater airway na sina hakika kama hutua uwanja wa Kia.
 
Mkuu una maana Qatar Airway? Inawezekana ilipata mshikeli wakawa wanatafuta kutua KIA? Ngoja niingie mtandao wa Qatar nitapata news au kama kuna mtu ana Al Jazeela inawezekana ikawa kwenye Breaking News (If and only if is Qatar Airway)
 
Kawaida huwa wanafanya simulation za emergency preparedness wakishirikisha kcmc na mawenzi hospital kama sehemu ya maandalizi. Ngoja tusubiri na mie nimesikia Kili fm wamesema quater airway na sina hakika kama hutua uwanja wa Kia.
Hilo ni shirika la ndege la nchi gani? au ulimaanisha Qatar Airways?
 
Ni kweli nipo maeneo ya kcmc, mahali fulani napata chakula kando ya barabara, nimeshuhudia ambulance za KIA pamoja na magari ya polisi yakipita kukimbiza majeruhi hapa kcmc. Sijajua kama ni majeruhi tu au kuna waliopoteza maisha au ni kitu gani kinachoendelea kwani wengne wanasema ni askari pamoja na madaktari wanafanya mazoezi.
 
Aliekwambia kwamba Taarifa na Habari huwa zinapatikana tu saa 2 usiku ni nani!!?? nini kazi ya Bloggers na social network?

Kama ulijua habari zinapatikana kwenye social Network mbona ulianza Kumpinga? JF imetapakaa kila mahali hata KIA wapo member na pengine wameshuhudia Tukio zima na wanaweza kutupa kwa ufasaha zaidi, kakupa source na kakwambia hakusikia kwa makini kwa kua dogo alikua anasumbu sio kila kitu unacrtisize.
 
...kuna mtu aliota humu kuhusu ajali ya ndege!

Nakumbuka uzuri sana story hiyo, tukahimizwa kusali.
Kama ni kweli ajali imetokea kuna mawili (1) Hatukusali (2) Kama tulisali basi sala zetu ziligonga mwamba.......
 
Kama ulijua habari zinapatikana kwenye social Network mbona ulianza Kumpinga? JF imetapakaa kila mahali hata KIA wapo member na pengine wameshuhudia Tukio zima na wanaweza kutupa kwa ufasaha zaidi, kakupa source na kakwambia hakusikia kwa makini kwa kua dogo alikua anasumbu sio kila kitu unacrtisize.
Jipange upya hata hueleweki ulikuwa unataka kusema nini!! hapa tunahitaji Taarifa na Habari za uhakika na kama unaona source yako sio reliable kaa kimya kuna member mwingine atakuja kupost habari inayojitosheleza.
 
Back
Top Bottom