Prof kabudi mwenyekiti wa tume ya katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof kabudi mwenyekiti wa tume ya katiba mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Janja PORI, Feb 29, 2012.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Raisi nakumbuka aliahidi atamchagua mwanasheria maarufu na mkongwe kufanya mchakot wa katiba
  chale zimencheza huyu jamaa anaweza akapewa commitee cz ye ndo alitunga sheria ile ya kwanza ya mapendekezo ya katiba
  my take naona JF tupeleke kwa raisi jina lan prof shivji, prof Maina na warioba
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Vipi kuhusu Dr. Sengondo Mvungi? maana na yeye amebobea kwenye Katiba.
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  nimeona leo kwenye gazeti la mwanahalisi wanasema ni jaji Warioba na sio profesa kalamagamba kabudi kama unavyosema wewe!
   
 4. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Palamagamba mkuu siyo kama hapo bolded ulivyoandika!!
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Warioba ndiye anayestahili.Prof Kabudi ni GAMBA SANA.
   
 6. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  asante kwa masahihisho.
   
 7. t

  tracy wa NJIRO Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mvungi yupo kisiasa sana
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Warioba aachwe apumzike huyu mzee! Napendekeza mtu asiyekuwa na mlengo wa chama chochote.
   
 9. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mvungi yuko njema lkn ktk hili si rahisi kupewa nafasi hiyo,wanamuogopa kwani yuko CRITICAL sana, ukizingatia kwamba na mswada wa sheria iliyopitshwa juzi hakurizika nao.
   
 10. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kwa wote waliotanjwa...

  Kabudi ni mtata sana....Mtakumbuka semina yake kwa wabunge....Abaki tu huku uraiani atoe maoni yake kwenye tume kama mie na weye!!

  Mvungi.....Sijawahi kumuelewa...inaweza kuwa janga la kitaifa kwa mtu ambaye haeleweki kupewa mchakato unaotakiwa kueleweka kwa kila mtu!!

  Warioba...nasikia ni mjumbe wa nyumba kumi huko kwake......Pia yale mambo ya Mwananchi Gold mine nayo hayawahi kukuaa sawa...Hata hivyo ni bora kuliko hao wengine hapo juu!!

  Shivji.....Sina neno...Ila najua JK hawezi kumpa huyu baba!!

  Babu DC!!
   
 11. D

  DOMA JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Ehe asije akawa Benson bana me napendekeza prof Shivj
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  palamagamba kabudi haeleweki. ni kigeugeu anaweza akatugeukia.bora hata mtikila.
   
 13. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  palamagamba kabudi ana njaa kali sana yule, yeye benson bana na mukandala walikuwa kwenye mtandao wa JK , JK kishalipa fadhila kwa Mukandala UVC UDSM na bana pale REDET kabudi kapewa u kuu wa kitivo UDSM , Kabudi akili anazo ila tatizo ni GAMBA GUMU LA KOBE
   
 14. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hata mkipinduapindua vipi hilo jina neno MAGAMBA litaonekana tuu.
  huyu mumuite kalaMAGAMBA, hawezi shiba, hata aki palaMAGAMBA hayato isha(kidding)
   
 15. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huyu hafai kwani hana uzalendo na ni mtu wa UWT; mnakumbuka kuwa huyu bwana ndiye aliyekataa hoja ya mgombea binafsi kwa wabunge alipoalikwa kama rafiki wa mahakama kuu ya rufaa!! Huyu ni gamba la kutupa hafai hafai kabisa.
   
 16. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  prof shivji anafaa zaidi maana hachanganyi profesional na ushabiki wa siasa, yeye alisema sio mwanasiasa, yeye ni mwanazuoni. KABUDI NI GAMBA LENYE MAGAMBA MADOGOMADOGO mfano wa kaka kuona.
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Msinisahau na mimi, si mnajua nchi hii bila kufahamia hupati ulaji?
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Hii nafasi apewe Salim A Salim wengine wazushi njaa kali.
   
 19. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  tusimsahau mch.mtikila..................:poa:eyebrows::poa
   
 20. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 884
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80

  Prof Shivji anafaa - lakini akipewa apunguze hiyo too much Nyerereism
   
Loading...