Ameyasema hayo wakati akimtangaza mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mas.
Katika press conference hiyo,amewathibitishia waandishi na Watanzania kwa ujumla kuwa PhD yake si ya kughushi... Akaonesha...
Kesho asubuhi kuanzia saa 12.30 nitakuwa kwenye Kipindi cha Kumekucha cha ITV nikizungumzia hoja zangu binafsi za mkakati wa kujenga nyumba na kuwauzia wafanyakazi kwa dhamana za michango...
Damage, which may not be fixed for three weeks, caused 20% slowdown in countries including Kenya, Rwanda and Ethiopia
David Smith in Johannesburg
guardian.co.uk, Tuesday 28 February 2012 08.07...
'' Kwa hali ilivyo sasa hasa kwa wa-tz walio wengi vijana....tukitoa portion inayohifadhi masuala ya elimu ya darasani na kumuacha aishi, wengi watakua vichaa kama sio watakufa mapema maana wengi...
WanaJF, poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu changa na masikini.
Tujikumbushe tu, najua wengi tunafahamu na mengi yameshasemwa sana hapa jamvini namna ambavyo chama tawala wanavyoiba kura na...
Mwanahalisi mnachemsha, kitu kidogo kama hiki mnashindwa kukithibitisha? mara watoto wa Jk mara ni mke wa Ridhiwani, kipi ni kipi?
Ridhiwani Kikwete mdaiwa sugu
Na Mwandishi wetu - Imechapwa...
baada ya chuo kufunguliwa na wanafunzi kushindwa kuja chuo ikidhaniwa wamekosa nauli au wanaogopa kula mawe chuo hakina wabafunzi kabisa hii imepelekea leo VC kuitisha meeting wafanyejeeee
my...
Nchi yetu ipo kama mji usio na baba vile,Inasikitisha sana kuona mji wa tanzania umekosa baba mwenye kujisimamia.Kila msaidizi wake anakuwa na ndimi zinazokinzana na mwingine,mara nyingi baba...
Basi la MURO TRANS, linalofanya safari za MWANZA-DAR, alfajiri ya leo, likiwa linaelekea DSM, liliacha njia na kupinduka eneo la mkolani kwa DANCUN.
Watu 25 wamejeruhiwa, 6 kati yao hali zao ni...
Mimi Ni mgombea nafasi ya ukilanja mkuu(headprefect) shule moja hivi pande za tabora.nahitaji mawazo yenu yachangamke kunipatia slogans niwezazo kutumia ili nishinde.tayari nimebuni bahadhi ila...
kalenda zaidi ya laki 7 za TWAWEZA zimekamatwa na polisi wa Uganda katika mpaka wa Tanzania na Uganda mtukula zikiwa zinaingia Uganda. kisa cha kukamatwa ni kwamba zina maneno ya uchochezi. Hizo...
Kufuatia kauli tata ndani ya jeshi la polisi Tanzania nimeingiwa na wasiwasi sana na dhana halisi ya cheo cha D.C.I. Mr. Manumba anaonekana bila kificho kuitumikia siasa na si kufanya kazi kama...
Nimeunganishwa na vijihuduma vingi sana vya vodacom either kwa kujua au kwa kutojua na kwasasa nakatwa hela nyingi kwa huduma hizo.
Simu inapobaki na shs 250 naambiwa sina salio la kutosha kupiga...
Katika kozi mojawapo kwenye chuo fulani kuna makabrasha kadhaa ya kihistoria yanayodai kuwa biashara ya kilevi ilikuwa na faida kubwa sana toka enzi za ukoloni. Mataifa ya Ulaya yalikataa katakata...
Madaktari hapa wilayani Mafia wameingia kwenye mgomo mpya kuanzia leo asubuhi. "Total tools down" hiyo inaendelea hadi mda huu na kuathiri huduma za afya kwa wagonjwa ambao wanategemea kupata...
Naomba mwenye taarifa za ndani zaidi anifahamishe kwani sielewi mwenendo wa Kampuni Komgwe ya mawasiliano nchini (TTCL), nimesitushwa na kuona kwamba maeneo mengi yanayopata huduma ya simu za...
Basi la Tashirifu limepata ajali maeneo ya picha ya ndege leo saa 10 jioni lilikuwa linatokea Tanga majeruhi ni wengi wako tumbi wengine wamepelekwa Mhimbili,cha ajabu kondakta wa basi alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.