Breaking Newz: Kigamboni yawa Giza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking Newz: Kigamboni yawa Giza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Mar 1, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Faustine Ndugulile

  Napenda kuwafahamisha kuwa wire wa kusafirisha umeme 33kv B-phase unaovuka bahari kutoka Kurasini kwenda Kigamboni umekatika upande wa Kigamboni saa 10:10.
  Hivyo Kigamboni yote haina umeme.
  Mafundi wa Transmission kutoka Magomeni wanaelekea huko kwa ajili ya kuvuta wire na kuunga.
  Nitaendelea kuwapeni taarifa kadri nitakavyozipata.

  Asante.

  Mbunge
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Hivi hii nayo ni Breaking news? hakuna ajabu kwa umeme kukatika Tanzania au kukaa gizani, tumeshazoea. ni sawa na kumuona mtu mwenye mshipa Bagamoyo wala sio ajabu.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  sasa breaking news kivipi? kwa Tanzania si wameshazoea . ccm idumu milele na milele
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tambua na uelewe maana na matumizi ya neno BREAKING NEWS
   
 5. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Hapo ni sawa na kusema... breaking news: Magogoni umeme haukatiki!
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Si kosa lake!
  Tumwacheni bure!

  ETI UMEME KUKATIKA NI breaking news!
  Kuna kazi humu jamvini!
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Wadau naomba kujuzwa, hiyo cable ni HVDC cable au ni HVAC?
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mie nilidhani breaking news Marekani umeme umekatika.
   
 9. f

  fungamesa Senior Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umeme umekatika toka jana asubuhi mpaka sasa hivi tarehe 02-03-2012 saa 07:45hakuna umeme wilaya ya Temeke yote
   
 10. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Breaking News, kwa kuwa umeme umekatika kwa hitilafu ya waya na sio mgao.
   
 11. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Breaking news kama ungesema, "kigambo umeme hauta katika tena". Mi siku ya tatu leo nalala giza. Kukatika kwa umeme ni kitu cha kawaida tanzani, na kuwa na umeme ni bahati
   
 12. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haaa yaani huku ughaibuni nina miaka 2 umeme haujakatika hata siku 1,hapa nimemiss sana kulala giza japo 1 day!!!!
   
 13. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duh sasa mbona ni suala la kawaida??? maana jana ni siku ya pili hatuna umeme mtaa mzima sembuse na kigamboni
   
 14. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Being in darkness in Tanzania is like a compulsory fulfillment,yaani ni sheria and unfortunately enough imetokea Watanzania kuamini kwamba ni haki yetu kukosa umeme,maji,madawa hospitalini n.k. without feeling bad or do anything legally!
   
 15. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,980
  Likes Received: 20,366
  Trophy Points: 280
  Binafsi, hii sikuona kama ni habari, wakazi wa kigamboni tangu mwaka umeanza hatujawahi kuwa na umeme masaa 24 hata siku moja.
   
Loading...