Alama ya" X" nyekundu kwenye kuta! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alama ya" X" nyekundu kwenye kuta!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pilu, Mar 1, 2012.

 1. p

  pilu JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari wana jf!
  Nimekua nikipita maeneo mbali mbali karibu kila mkoa nimekua nikiona kuta za nyumba au majengo mbalimbali vimewekewa alama ya X nyekundu, yawezekana kuna waliokumbwa humu jf.
  Ningependa kujua ni kitengo gani kinahusika na hilo lakini pia wandugu naomba kuuliza hivi kazi hiyo yakuweka alama izo hufanyika mida gani jamani mbona sijawahi kuwaona?
  AHSANTENI!
   
Loading...