Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau kuna mtu ana updates zozote kuhusu Dr Lucy Nkya kama ameamua kujiuzulu au vipi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
There were over 6000 applications for the prize of Mama Shujaa Wa Chakula – Tanzania's "Female Food Hero," a competition to recognise and celebrate the achievements of female food producers...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali iliyochaguliwa kwa mujibu wa katiba inafanya kazi kwa miongozo iliyopo kwa mujibu wa katiba! Kumuamrisha Rais achague kiongozi/Waziri unayemtaka ni kuidharilisha serikali harali iliyopo...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari njema kwa wakazi wa MBEZI mwisho,kile kituo tulichokingoja kwa hamu kuzinduliwa leo na Waziri wa Ujenzi ,Dr.magufuli........
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hivi karibuni nilikuwa katika wilaya ya urambo mkoani tabora ambapo kijana mmoja aitwae hassan mgalu akiwa katika soko la wilaya hiyo aligongwa na baiskeli na aliye mgonga alikuwa askari...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za kuaminika zinasadikisha kuwa leo Jumatatu kutakuwa na mgomo wa Madereva wa hiace (daladala). Chanzo cha mmgomo ni kuwa wamechoshwa na faini zinazotozwa na jeshi la polisi, pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani hapa arusha kuna shule imepanga kuchukua 10000,kila mwezi kwa ajili ya masomo ya ziada kwa wanafunzi..na ni ya serikali.lakini wakati huo huo kuna kaya zisizoweza kulipa ada ya...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Ni aibu kwa serikali kufungua kituo cha daladala bila choo nilikuwepo eneo la tukio nimeshindwa kwa kujisaidia mpaka nikachafua suruali yangu kwa nn jamani hivi choo sio muhimu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku ya Jumatatu saa 4-6 mchana (muda wa kipindi cha Meza Busara) na usiku kuanzia saa 2 mpaka saa 3:30 kama si 4:00 wanakuwa na vipindi vya tiba vinavyoendeshwa na kijana (wakati wa mchana) na...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Hivi watu wa Clouds FM Naamini huwa mnatembelea humu jamvini Mnashindwa kweli ku-update website yenu hata walau mara moja kwa wiki kama kwa kila siku haiwezekani?? hadi leo habari yenu kuu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nisaidieni hivi vimodem vya kichina vya airtel havina option ya kuload numbers ili kuweka vocha...kwa nini kila nikitaka kuweka vocha lazima nitoe sim card niweke kwenye simu ndiyo niweke kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habari zenu! Naomba msaada kwa anayejua physical location ya kampuni inayoitwa G Investment Group ambayo inajishughulisha na utengenezaji wa AC za magari. Kuna jamaa yangu kaniambia kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo kwenye uchambuzi wa magazeti radio one nimesikia kuna shule kibaha inawawekea alama nyekundu wanafunzi wenye vvu kwenye sale zao. Hivi,bado kuna unyanyapaa mpaka leo? Tukiamua kufanya namna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Send to a friend Monday, 05 March 2012 10:13 0digg Waziri Mkuu,Mizengo Pinda Waandishi Wetu SIKU moja baada ya madaktari kutishia kuanza mgomo mwingine, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
jamani naombeni msaada wenu,nasikia kuna mayai ya kuku wa kisasa yameingia yana madhara kwa afya hasa wanaume inasemekana inawapunguzia nguvu za kiume,kuna ukweli wowote wadau?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika kinyang'anyiro cha awali cha ubunge wa uchaguzi mdogo huko arumeru mashariki kwa tiketi ya CCM,mwl.Anthony Musani (mkuu wa shule ya sekondari leguruki) aliomba kuteuliwa ktk kura za maoni...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu; Tumekuwa tukimsikia IGP Mwema akiimba 'wimbo bora' wa kujenga 'Jeshi lenye 'Weledi'' na askari wa kisasa..! Je, mwenendo huu unaojitokeza kila kukicha kutokana na polisi kuzidi kuwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wewe usiye na ajira au uliye ajiriwa unadhani hizi zinaweza kuwa sababu za vijana wengi kukosa ajira na kuendelea kusota nyumbani/vijiweni..... 1.Kuchagua Kazi ie ile kuweka akilini mimi nataka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau ninakuja tena jukwaani kuwasilisha utapeli unaofanywa na kampuni ya simu ya tigo,wana huduma zao ambazo ukijiunga nazo wanakupa muda kadhaa wa maongezi na sms kadhaa,cha ajabu leo ni siku ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Nipo maeneo ya Manispaa Ilala varangati kubwa linaendelea walimu wapya wanadai mishahara yao. Kama inavyozoeleka serikali hii ovu ya CCM mwaka huu imeamua kuwadhulumu kabisa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom