Kituo cha mbezi kuzinduliwa leo na Dr.Maghufuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kituo cha mbezi kuzinduliwa leo na Dr.Maghufuli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by greenstar, Mar 5, 2012.

 1. g

  greenstar JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari njema kwa wakazi wa MBEZI mwisho,kile kituo tulichokingoja kwa hamu kuzinduliwa leo na Waziri wa Ujenzi ,Dr.magufuli........
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,604
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  Vyoo vimejengwa?
   
 3. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,136
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 180
  Dr Bilali yuko wapi?
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,882
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Au Maalim Seif S. Hamad?
   
 5. N

  Ndole JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kweli mkuu tuambiane kama vyoo vipo. Stendi nyingi sana hazina hii huduma muhimu. Nenda segerea hakuna vyoo.
   
 6. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,126
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa, shughuli ya uzinduzi ni kazi ya makamu wa rais bw. Bilal, loh hana kazi ingine mwenyewe kalizika
   
 7. S

  Samsindima Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli wataalam tunao. Kituo kimegharimu Shs 1.3 bilioni lakini vibanda vya abiria havisaidii jua wala mvua ni mapambo tu. Na ukiwa pale hutakiwi kuwa na haja ya namna yoyote
  licha ya kusimama hadi usafiri uje maana hata kukaa chini huwezi. Hongereni ujenzi kwa kukamilisha Bus Stand ya kustand up ana no calls... Short or long a.k.a ni ya ku beep.
   
Loading...