Ni makosa kuisulutisha serikali kufanya kazi

kabindi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
333
120
Serikali iliyochaguliwa kwa mujibu wa katiba inafanya kazi kwa miongozo iliyopo kwa mujibu wa katiba! Kumuamrisha Rais achague kiongozi/Waziri unayemtaka ni kuidharilisha serikali harali iliyopo kwa mujibu wa katiba!. Unaweza kutoa ushauri lakini si kwa kulazimisha. Na serikali yoyote inayofanya kazi kwa kushurutishwa si kwamba ni sikivu ila ni dhaifu!

Hivyo ktendo cha madaktari kumshurutisha Rais kuwajibisha viongozi aliyowateua ndipo wafanye kazi ni utovu wa nidhamu!. Kama Sekta zote tukiamua hivyo basi serikali haiwezi kufanya kazina itacollapse. Hivyo nashauri yafuatayo kwa serikali na wengineo;

1. Tatueni matatizo ya madaktari na wafanyakazi wengine kwa utaratibu bila kulazimishwa lakini pia kwa kuzingatia umuhimu wa hoja. Utatuzi wa matatizo usiwe wa muda mrefu watu kukaa vikao na kuchuma perdiems ikigeuzwa kama mradi

2. Tambua kwamba hatua yoyote ya madaktari kugoma ni hujuma kwa serikali na wananchi wake kwa ujumla.

3. Tambua ikitokea Madaktari wamegoma, chukueni msimamo mgumu wa kutokubali kudhalilishwa, pelekeni wagonjwa wa dharula Hospitali za binafsi, nchi za jirani, Hospitali za jeshi,polisi na pia kukodi Madaktari wa dharula kutoka kwa nchi marafiki na hata ikiwezekana kuwa na deni kwa ajili ya hili.(WAFAHAMISHE WATANZANIA TUPO KTK DHARULA).

4. Tafuta utaratibu wa kisheria na kutathimini athari inayoweza kujitokeza ili hatua kali zichukuliwe kwa wahujumu.

5. Asiyetaka kazi aache, Serikali kuweni na maamuzi, acheni kuchekea watu hovyo hovyo, wekeni usimamizi wa kuratibu utendaji kazi asiyefanya kazi afukuzwe maramoja kwamujibu wa sheria bila kubembelezana.

6. Vyama vya wafanyakazi kama TUGHE na TMA mnao uwezo wa kuzuia migomo au kuichochea.Tunawaangalia!.
Serikali iheshimiwe, na serikali onyesheni kwamba mmepewa majukumu ya kusimamia watu! Kuweni na huruma kwa watu wasiyo na hatia! Otherwise tungetamani tuwe kwa KAGAME ambako ujinga ujinga kama huu huwezi kuuona!

Asyependa mawazo yanguna asipende na huu ndiyo msimamo wangu!.

Nawasilisha kwa manufaa ya NCHI yangu.
 
kama umeelewa hoja ya msingi umeelewa! na kama hujaelewa basi wewe ni mjinga! typing error siyo issue! issue ni mantiki ya ujumbe!
 
Acha uboya wewe, typing error zinaonekana kabisa, ila ulichoandika hapo si typing error ni kwamba hujui kiswahili. Inaonekana una mental retardation
 
Acha fikra za magamba hizo. usilinganishe madaktari na walimu wa upe. haki yao ni lazima wapewe.ALUTA CONTINUE...:canada:
 
wewe una alzheimer disease! unashindwa hata kufikiri! ukweli umeupata na kitakachofuatia tutawachapa viboko!
 
Serikali inaweza hadi kushitakiwa mahakamani na kupewa amri inayoitwa 'certiorari' au 'mandamus' kulazimishwa kufanya jambo fulani au kutofanya jambo fulani!.
Hivyo serikali inalazimishika!.

Ila kwa mujibu wa appointment powers za rais, anaweza kuteau au kumfuta kazi yoyote as he may please, pia rais wetu anaweza kupokea ushauri wowote kuhusu jambo lolote lakini hawajibiki kuufuata ushauri huo!.
 
sawa kabisa! basi serikali kama ina makosa wafuate utaratibu huo! na pia n shukuru kwa ufafanuzi kwamba serikali inawezashauriwa na si kulazimishwa!
 
Inaelekea elimu ya nukta, koma, kuacha nafasi, kuanza kwa aya n.k zimekupita kando sana,
Wewe hata "kutunga sentensi kutokana na jedwali" ulikua unafeli, pia nina wasiwasi uligombana Na mwalimu wako wa Uraia halafu ukaja kua mtoro sana kipindi cha Civics.
Anyway, unaweza kurudia kusoma kupitia MEMKWA na ikakutoa kimtindo.
 
Kutofautiana sio kutokujua, na wala sio lazima kujua unachojua wewe. Jifunze kuheshimu mawazo ya wengine.
 
msitumie muda kuangalia nukta au koma na ubora wa kiswahili. Mbona hoja ya msingi ipo wazi? mgomo wa madaktari ni utoto!
 
Hivi jina lako ni Kabinti au kabindi?kikwetu maaana yake ni mwanamke asiye na msimamo wa kimapenzi kwa kifupi cha wote ss inaonekana ww ni cha wote,hivi unafikiria kwa kutumia kiungo gani mwilini?hakuna mtu anayependa migomo ila kama mtumishi anayetake care maisha ya watu lazima na yy umjali kimaslahi na maisha bora nyie ndo mnaopewa kanga,wali na tishirt wakati wa uchaguzi,mods naomba hii thread uifute
 
..mbona jasba mkuu! Hoja yako imefika mahala pake, kazi kwa wanajamii kuchangia na si kiwalazimisha kuipenda. Kila mtu ana mtazamo na namna yake ya kuchambua mambo. Ushauri wa bure, andika hoja inayoeleweka na punguza hasira na weka jazba pembeni maana vyote havijengi!
 
wakati tunatoa hoja wewe unafikiria mapenzi! ndiyo nyie madaktari mnaobaka wagonjwa!
 
Serikali haiwajibiki, viongozi na maofisa wao walidhani wanadhani nyazifa hizo ni fursa za kipekee katika ku upgrade maisha yao ki-materiial.
Wakajisahau sasa wananchi wameamka wao wanaaendelea kuweweseka katika njozi zao za akina Sakabona.
Serikali legevu yenye kubuni visa na matukio ili ipate credits, iliyotayari kutengeneza mifarakano fake ili iangamize raia wake. Acha wananchi waishurutishe kuwajibika.
Ukiona makundi ya kiraia yanajipambanua hadharani na yanaanza kuungana katika kuishurutisha serikali, elewa hiyo ni very advanced stage katika mapinduzi.
Wananchi wamechoka, serikali nayo haina pa kutokea japo bado haijatambua kuwa bara bara iitumiayo hhas reached the dead end.
 
wakati tunatoa hoja wewe unafikiria mapenzi! ndiyo nyie madaktari mnaobaka wagonjwa!

Punguza mapovu
Au wewe ndo Mponda nini? Au Nkya?
Serikali iliahidi yenyewe kuwa wahusika watawajibishwa wakaekeana muda na madokta. Sasa kama hawakati kuheshimu mkaba madokta wafanyeje wao zaidi ya kugoma

Hii serikali ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom