sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 54
Nisaidieni hivi vimodem vya kichina vya airtel havina option ya kuload numbers ili kuweka vocha...kwa nini kila nikitaka kuweka vocha lazima nitoe sim card niweke kwenye simu ndiyo niweke kuna namna nyingine?