Michango

nkurwa

Member
Dec 15, 2011
5
0
Jamani hapa arusha kuna shule imepanga kuchukua 10000,kila mwezi kwa ajili ya masomo ya ziada kwa wanafunzi..na ni ya serikali.lakini wakati huo huo kuna kaya zisizoweza kulipa ada ya mtoto..jamani hii ni sahihi?
 
Back
Top Bottom