kufunguliwa kituo cha mbezi bila choo aibu

kufunguliwa kituo cha mbezi bila choo aibu

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
Ni aibu kwa serikali kufungua kituo cha daladala bila choo nilikuwepo eneo la tukio nimeshindwa kwa kujisaidia mpaka nikachafua suruali yangu kwa nn jamani hivi choo sio muhimu?
 
Back
Top Bottom