Tigo acheni wizi wa mchana

1800

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
2,215
603
Wadau ninakuja tena jukwaani kuwasilisha utapeli unaofanywa na kampuni ya simu ya tigo,wana huduma zao ambazo ukijiunga nazo wanakupa muda kadhaa wa maongezi na sms kadhaa,cha ajabu leo ni siku ya nne mfululizo wamekua wanatoa muda huo na dakika hzo kuanzia saa tatu usiku badala ya saa moja asubuhi,je huu sio wizi wa wazi tena wa mchana kweuupee?saa tatu usiku ni asilimia ngapi ya wateja wanakua na muda wa kuongea na simu?
 
Back
Top Bottom