Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii habari niliisikia kama tetesi siku ya ijumaa tarehe 2/3/2012 kwa kuwa nilikuwa nadai vihela vyangu huko Kasulu na niliahidiwa kuzipata Jumatatu nilifunga safari Ijumaa na kufika jioni na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Charles Kenyela Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewafukuza kazi askari wake wawili waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu wa kimara tumekuwa tukipata maji kwa mgao wa aina fulani kwa kipindi kirefu huko nyuma, ambapo ilikuwa ni angalau mara mbili kwa wiki. lakini huo mgao kwa sasa unafifia sana, kwa sasa unaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wishing you all the best
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Series of large explosions kills at least 200 people in Brazzaville and shatters windows across the Congo river in Kinshasa At least 200 people have been killed and many more injured in a...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kijana aliyepoteza maisha akiwa chini ya ulinzi wa askari waliompiga kwenye pikipiki ya miguu mitatu hivi karibuni nilikuwa katika wilaya ya urambo mkoani tabora ambapo kijana mmoja aitwae...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu nipo pande za Tarakea huku naona malori pamoja na ma V8 yalobeba watu waliovaa kijani ya ccm yanatokea upande wa moshi kuelekea Tarakea sijui magamba wana mishe gani leo huku maana nasikia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi CA na CIA wote wanaripoti mahala pamoja?......ndio maana yule mama alikuwa na nguvu sana....watu wote hawa chini yake?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna habari,, wananchi "wenye hasira kali" Wilayani Chunya wamevamia na kuvunja kituo cha Polisi Lupa Tinga Tinga kisha kuchoma moto nyumba mbili za askari polisi na moja ya raia. Tukio limefuatia...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi limewafukuza kazi askari wake waliokuwa wanatuhumiwa kwa mauaji ya kijana Hassan Mgalula wa Urambo, Tabora. Kwa mujibu wa RPC Tabora, askari hao wanne (Konstebo Aidano, Jonathan...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kaimu naibu katibu mkuu wa chama cha CUF Ndugu Mketo, nimeshtushwa sasa hivi kusikia redioni kupitia kipindi cha meza ya busara eti kupunguwa kwa kura za CUF na Lipumba kwenye uchaguzi mkuu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF magezeti ya leo asubuhi kupitia Clouds FM yameripoti Mbunge wa Ubungo apondwa mayai viza kisa hajawaletea maendeleo.Wabunge wanapswa kutekeleza ahadi zao kwa matendo na sio kwa maneno...
0 Reactions
114 Replies
11K Views
Wakuu ajali hii inadaiwa kutokea March Mosi kwa basi hili kugongana uso kwa uso na gari ndogo. Kama kuna mwenye taarifa zaidi za mahali/eneo ajali ilitokea,if it was fatal nk. atujuze zaidi wanajamvi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nini kinatokea account ya CRDB ikiwa over withdrawn beyond 5000 Tsh...inayolinda kitabu.....
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mzee Mkinga anahojiwa pamoja na mambo mengine ni juu ya afya yake. Fuatilia
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mwenye nayo please msaada, namba ya landline on yellow pages haipokelewi, natanguliza shukran
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri George Mkuchika amewataka wafanyakazi wote wa serikali wanaofanyakazi katika Mkoa wa Pwani na kuishi Dar es Salaam wahamie Pwani ifikapo Aprili mosi mwaka huu ili kupunguza gharama za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu kuna course ya data analysis using spss na ms exel inafundishwa udsm details hizi hapa 1.mahali- ucc mbezi beach branch mbele ya kituo cha goigi. 2.muda wa lumaliza course-ni course ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kuna tetesi kuwa kuanzia kesho kutakuwa na mgomo wa wafanyabiashara wa soko kuu MAJENGO DODOMA wakipinga wenzao wauza matunda na mbogamboga kuhamishiwa ktk masoko ya BONANZA na MEDELI
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tuko muhimbili ndugu zanguni muda si mrefu mh waziir mkuu ameoka kuongea na ma dk kuhusu matayarisho ya mgomo ujao hapo jumatano..katika kmoja ya mambo aliongea amesema anaomba wampe muda...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom