Ajira zinapatikana ukiepuka haya machache | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira zinapatikana ukiepuka haya machache

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Poriposha, Mar 5, 2012.

 1. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe usiye na ajira au uliye ajiriwa unadhani hizi zinaweza kuwa sababu za vijana wengi kukosa ajira na kuendelea kusota nyumbani/vijiweni.....

  1.Kuchagua Kazi ie ile kuweka akilini mimi nataka kazi flani tena na kujipangia na kiasi cha kulipwa wakati bado status yako haieleweki ukiambiwa ufunguliwe kibanda unaona kama umedhalilishwa etc etc...

  2.Uvivu i.e kutokuwa mshugulikaji kuanzia mawazo,kazi ndogo ndogo etc etc....

  3.Kujisikia i.e kutokana status ya kifedha ya wazazi/ndugu unaona wewe una kazi special za kufanya ukipewa vibarua unaonana kama umetukanwa etc etc......

  Mchango wako unahitajika ili tuweze kupeana mawazo ya kujikwamua.... KIKWETE sidhani kama anaweza kulitatua janga hili TUJITUME WAJEMENI....

  TUJARIBU KUJITUMA ILI TUWEZE KUNGATUKA KWENYE HILI WIMBI LA UKOSEFU WA AJIRA
   
Loading...