Hii kampuni ofisi zao ziko wapi hapa Dar es Salaam?

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
284
Wadau habari zenu! Naomba msaada kwa anayejua physical location ya kampuni inayoitwa G Investment Group ambayo inajishughulisha na utengenezaji wa AC za magari.

Kuna jamaa yangu kaniambia kuwa hawa jamaa ni mafundi wazuri sana wa AC, aliona matangazo yao TBC1 lakini kwa bahati mbaya hakubahatika kuchukua contact zao.

Nawasilisha!
 
hawa jamaa wapo namanga karibia na kanisani.namba zao za simu ni;
0718 437 828 na 0784 777 784. wapigie utawapata na watakuelekeza vizuri.
 
Back
Top Bottom