Mayai ya kuku feki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mayai ya kuku feki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by steveachi, Mar 5, 2012.

 1. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  jamani naombeni msaada wenu,nasikia kuna mayai ya kuku wa kisasa yameingia yana madhara kwa afya hasa wanaume inasemekana inawapunguzia nguvu za kiume,kuna ukweli wowote wadau?
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  sijakuelewa, unamaana hayo mayai yameingia tumboni mwako au bandani kwako?naomba ufafanuzi:smash:
   
 3. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bee mwana beh!

  Mayai ya kuku feki, au mayai feki ya kuku?

  Na nani alikwambia ni madhara kupungukiwa na nguvu za kiume? Acha zipungue kwani kwanza tukiacha masihara, hizi nguvu za kazi gani hasa manake wanawake hawana lkn still wanabeba mizigo na ndoo za maji kichwani!
   
Loading...