GIB JF-Expert Member Mar 2, 2012 336 92 Mar 5, 2012 #1 Wadau kuna mtu ana updates zozote kuhusu Dr Lucy Nkya kama ameamua kujiuzulu au vipi?
Radhia Sweety JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,434 1,765 Mar 5, 2012 #2 Hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo!
GIB JF-Expert Member Mar 2, 2012 336 92 Mar 5, 2012 Thread starter #3 Mpaka madaktari wagome ndiyo ajiuzulu????
Najuta Kukufahamu Member Feb 29, 2012 54 17 Mar 5, 2012 #4 kwani bosi wake yule mzee mwenye kingereza feki ameshajiuzulu tayari?/ mama ana nyodo sana huyu hafai..
kwani bosi wake yule mzee mwenye kingereza feki ameshajiuzulu tayari?/ mama ana nyodo sana huyu hafai..
mmbangifingi JF-Expert Member Mar 9, 2011 2,839 559 Mar 5, 2012 #5 Aliyemteua kamkataza kufanya hivo!!!
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Feb 14, 2012 987 220 Mar 5, 2012 #6 Kama vile nimesikia ameitisha waandishi wa Habari
drphone JF-Expert Member Sep 29, 2009 3,542 281 Mar 5, 2012 #7 ajiuzulu kwa lipi? hata madr wagome vp ajiuvulu m2 chezea tanzania nn ww?
Nelsweeter Senior Member Feb 17, 2012 141 68 Mar 5, 2012 #8 Hawezi kujiuzulu, kwani atamwaibisha bosi wake
Ndachuwa JF-Expert Member Mar 8, 2006 6,269 4,569 Mar 5, 2012 #9 Radhia Sweety said: Hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo! Click to expand... Kina mama msivyopendana. Someni katiba, Naibu waziri ni mtu mdogo sana kwenye maamuzi ya nchi hata kwenye kikao cha baraza la mawaziri haingii.
Radhia Sweety said: Hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo! Click to expand... Kina mama msivyopendana. Someni katiba, Naibu waziri ni mtu mdogo sana kwenye maamuzi ya nchi hata kwenye kikao cha baraza la mawaziri haingii.
Mnyamahodzo JF-Expert Member May 23, 2008 1,932 985 Mar 6, 2012 #10 Jadili kwanini Mponda hajiuzulu. Maji yatafata mkondo. Haji Mponda aachie ngazi kwanza.