• Ndugu ningefurahi kama ningepata contact zako kwani nilisoma kuhusu ushauri wa magari ya aina ya Scania mimi nilishawahi kuleta miaka ya 1999 lakini sasa nataka kufanya bishara hio tena naoma unifahamishe ni svcania gani inafaa kuuzika Tanzania lakini mimi naweza pata Lhd driver pekee huju ulaya
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top