Kero za dressing Moi Muhimbili

Nchumbe Raia

Member
Dec 22, 2011
5
0
kunahali ya kusikitisha kama sio kushangaza kwa manes wa moi ninavyo faham mimi muda wakazi ni saa moja na nusu lkn kwenye dressing moi nikinyume wenyewa wanaaza kufanya kazi saa nne wakati mtu unaamka mapema ili uwai kuudumiwa ukafanya kazi zako sasa unajikuta ratiba ime vurungwa sasa kwa hali km hii tutafika kweli?
 
hizo gozi za kufanyia dressing zipo?
Unalalamika nini,kawaambie wazee wa dar salaam waje kufanya dressing.
 
kwa hiyo kazi ya moi ni dressing tu hakuna kazi nyingine.

huku ni kdhalilishana. Nesi huyo agawe dawa, atandike vitanda,sasa atajigawa vipi? Mbona ofisi zingine wanaanza kazi saa nne hulalamiki? Tofautisha muda wa kufika kazini na muda wa kuanza kazi. Kuna muda wa kufanya usafi,kupeana report za usiku nk. Ile siyo ofisi ya mkurugenzi kwamba akiacha vitu jioni akija anavikuta kama alivyoacha. Kumbuka kuna vitu vinavyowekwa kimaandishi na vinatumika na watu wa shifti tofauti.
 
juzi mwakyembe kaingia kazini saa nne mbona hatushangai.
 
Back
Top Bottom