Muamba anatambua familia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muamba anatambua familia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Mar 20, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, pia anaweza kupumua bila usadizi wa mashine , lakini hali yake ingali mbaya kiasi cha kusalia katika chumba cha wagonjwa mahututi.

  Mwamba alianguka uwanjani na kuzimia mnamo Jumamosi wakati wa mechi kati ya klabu hiyo na Spurs.
  Moyo wake Ulisimama kwa masaa mawili lakini tangu hapo ameanza kuonyesha dalili za kuimarika kiafya.
  Madaktari wamesisitiza kuwa hali ya Muamba sio mahututi lakini ni mbaya.
  Muamba anaweza kuinua mikono yake na miguu, ingawa madaktari hawawezi kuelezea kuhusu hali yake ya baadaye kwa sasa.
  Mchezaji huyo aliwahi kuchezea timu ya taifa ya Uingereza ya vijana walio chini ya umri wa miaka 21.

  BBC Swahili
   
Loading...