Ukiona haya ujue unacho ongea hakina mvuto.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Hapo wameona unaongea pumba au walikula maharage?
Picture_001.jpg
 
wanasali sala ya kuomba shule yao ipate madawati

Lini? ikiwa fedha zetu za kodi watu wanalipia walinzi wa kanisani? na wanawalipia posho za 250,000 ma hausigeli na mahawara. Madawati mangapi hapo?
 
Ishu ni kwamba hapo wanapewa statistics za matokeo ya mitihani...ambapo 90% wamepiha ki-MwanaAsha!
 
Back
Top Bottom