Uchumi wa Tanzania mfano bora duniani

OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,251
827
Uchumi wa Tanzania Unakua kwa kasi ya mfano wa kuigwa duniani.
tazama forecast hii ya WB kati ya 2011-2015
Source The Sun.
Forecast of annual GDP growth 2011-15

1. China 9.5%

2. India 8.2%

3. Ethiopia 8.1%

4. Mozambique 7.7%

5. Tanzania 7.2%

6. Vietnam 7.2%

7. DR Congo 7%

8. Ghana 7%

9. Zambia 6.9%

10. Nigeria 6.8%

Kwa kina Thomaso gongeni hapa.Why African economies are outpacing the UK’s | The Sun |Features

OTIS
 
aaaah uongo mkubwa wanatuibia vyakutosha na wanatupa moyo wakutosha ili tuone tunasonga kumbe uongo mtupu!
 
aaaah uongo mkubwa wanatuibia vyakutosha na wanatupa moyo wakutosha ili tuone tunasonga kumbe uongo mtupu!

Dunia yako
Chaguo lako
Chagua kujivunia Taifa lako
OTIS
 
Upuuzi wa propaganda hizi za kusafishana kama kelele za merekani kwa Rwanda hata sizikubali..ni unafki uliokubuhu
 
Mozambique is gonna become huge soon...so many large scale economic activities and investment. I am not so sure how they fair on corruption and political affiliations and cover ups. But we can match and do better than them if we change our current style as we have all that they have and even more
 
Atleast wewe unatoa mawazo ya kujenga
Tanzania hii itajengwa na watanzania
OTIS
 
Tarakimu ya uchumi kukua na kukua kwa kipato cha Watanzania ni vitu viwili tofauti kabisa.
Maana yake kundi dogo sana la watu may be 0.5% lina 99% ya kipato cha taifa na 99.5% ya watu wanagawana hiyo 1%

Tarakimu inatoa average ya growth na siyo nani anamiriki nini??

Mtu mmoja wa familia moja akiwa na Cab 100 katika kitongoji cha familia 100 kwa wastani kila familia inakuwa na cab 1 je hiyo ni takwimu ya kweli??

Ukweli ni kwamba kuna familia 1 yenye cab 100 na familia 99 zenye Cab 0.
 
hahaha, kweli wazungu washatuona sisi mazuzu, wanatuibia halafu wanatupamba utamkuta jk anajisifia kwa hizi takwimu.
yani tungetumia vizuri sana rasilimali zetu ungekuwa kwa asilimia hata 25% annual lakini kwa style hii ya kutugeuza sisi mazuzu we wont reach any where
 
waache kutufanya mazuzu juzi wametangaza tanzania ni ya pili kwa kuombaomba duniani leo wanatuambia tunakua kwa kasi yaan tunapaa kiuchumi.!!
 
Huu ndio ukweli. Uchumi wetu unakua kwa kiwango kizuri. Hata wazungu wanakiri hivyo.

Na bado, ngoja tuanze kuuza gesi, chuma cha mchuchuma na Liganga, makaa ya mawe, umeme wa ziada, uranium, petrol etc ........tutapaa.

Muhimu ni kuendelea kuitunza amani yetu kwa gharama yeyote ile.
 
Hayo yote yanamsaidia vipi MTanzania wa kawaida? Pesa zote zinaishia mifukoni mwa watu wachache ambao wanazihifadhi nje ya nchi badala ya kuwekeza hapa Tanzania.

"Wajinga ndio waliwao". Endeleeni kushabikia kukua kwa uchumi wakati ndugu zenu, wazazi wenu, watoto wenu wanaumia kwa kukosa matibabu, wanakosa maji safi, wanakosa elimu bora. Wenzenu wakiumwa hata mafua wanapanda ndege kwenda kutibiwa nje nyie hapa mmebaki kukenua meno eti uchumi unakua!!
 
Back
Top Bottom