Saudi Arabia Yaipa Tanzania ZAWADI YA TENDE......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saudi Arabia Yaipa Tanzania ZAWADI YA TENDE.........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amavubi, Mar 20, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,953
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Aiseee..............
  eti serikali ya ya Saudia imeipa Tanzania zawadi ya Tende ili KUIMAIRISHA MASHIRIKIANO...na sisi tuwape nini???

  source Channel 10 Taarifa ya Habari 20/04/2012
   
 2. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah yaani chuki tu,sasa kuna ubaya kupewa tende
   
 3. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,092
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  waarabu ndio misaada yao tende,nyama ya mbuzi tusitegemee kipya kutoka kwao,wao wanatupa tende,sisi tunawapa wanyama
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,953
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  wameshaimovozisha
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,752
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  eeeh watupe bwana tena tende tamu kweli duuu!
   
 6. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eti,tende ni tunda(chakula).linalo madini ya kutosha kuliko vyakula vingi duniani.alafu vi2 kama hivi moja kwa moja munaingilizia udini.yaani ujinga.
   
 7. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,877
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Mbona akina carl Peters walitupatia shanga na pipi, Sasa mnashangaa nini waarabu kutupatia tenda?
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,975
  Likes Received: 891
  Trophy Points: 280
  Haaahaaa! Jamani kwanini tusiwaambie watusaidie training of petroleum sector work force? Maana haya matende mwisho wake ni kutoa mashuzi tu na sisi hatujawahi kukosa chakula hata kama ni kwa shida shida.
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Sijui Cameron kwa kiarabu inaitwaje........:redface:
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  kumbe zile zilizotolewa makubulini ile ijumaa ilikuwa ni msaada duu halafu miafrika ya kitanzania ikiwa inapeana kwa kujuana tabu tupu..
   
 11. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,416
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha ha ha ha :peep:
   
 12. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  More than 80% ya workforce iliyopo kwenye sector ya mafuta uarabuni ni foreigners!!!
   
 13. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Tutawapa zawadi ya kuchimba mafuta maeneo ya Tanga na Zanzibar
   
 14. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Tende inapewa serikali kwa wanyama wote na ardhi waliyopewa ?
   
 15. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Yaani hii dhahiri Udini na chuki za Kidini. Inashangaza mtu uchague cha kupewa, hiyo ni kazi ya mtoaji kuchagua na sio mpewaji. Hata hivyo, Tende ni moja kati ya matunda mazuri, kwa anayeyajua hawezi kulalamika kupewa tende.
   
 16. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,421
  Likes Received: 1,727
  Trophy Points: 280
  Kumbe ni matunda mazuri? Ndio maana vibabu hapa msikitini kwetu vilichapana bakora na kutoana ngeu kisa tende!
   
 17. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Msiwalaumu watoaji! ni system ndiyo imewalazimisha Wiaslamu waishie kupeana tende
   
 18. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,580
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  chuki imekufanya mpaka uwasingizie chanel 10 kuwa wamesha isoma t/habari ya mwezi wa 4 tar 20, tarehe ambayo hatujafikia.
   
 19. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,521
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ukiona hivyo ujue kuan ndege itabeba wanyama soon
   
 20. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,817
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  ndio msaada pekee nchi za kiarabu inayoweza kutoa-
   
Loading...