Geita iko gizani kwa saa ishirini na nne sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Geita iko gizani kwa saa ishirini na nne sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwanamapinduko, Mar 20, 2012.

 1. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakuu nimeongea na jamaa yangu yuko Geita ameshindwa kukamilisha kazi kwani mkoa huo mpya hauna umeme sasa kwa masaa 24 mfululizo sasa na hawajapewa taarifa yeyote.

  Licha ya kuwa kando kidogo ya mji huo kuna utajiri wa mkubwa wa dhahabu ambayo inaibwa na wazungu wa anglogold kwa gia ya wawekezaji, mji huo haufaidiki na chochote na rasilimali MUNGU aliyowajaalia. Anasema mji huo maji ni shida, barabara ni vumbi la kufa mtu.

  Wanasubiri jamaa yetu aende huko nako na lap top tatu, bastola na bunduki kubwa, pete za fedha mbili na mabegi matatu ya nguo labda atawaokoa. Nawasilisha taarifa
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,632
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Niger Delta....
   
Loading...