Uzinduzi wa mwaka wa ushirika Mnazi Mmoja Dar

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Uzinduzi wa mwaka wa ushirika shughuli zinaendelea viwanja vya mnazi
mmoja. Mgeni Rasmi ni Rais wa JMT Jakaya Kikwete.

Fuatilieni live TBC.
 
Uzinduzi wa mwaka wa ushirika shughuli zinaendelea viwanja vya mnazi
mmoja. Mgeni Rasmi ni Rais wa JMT Jakaya Kikwete.

Fuatilieni live TBC.

Asante kwa taarika ndugu,
MOVED to jukwaa la taarabu/pambio/maigizo na maonyesho ya asili.
 
Sijaelewa ni kwanini serikali imeona sehemu inayofaa kwa kuadhimisha siku ya USHIRIKA duniani ni Dar es Salaam? Hili jiji na ushirika wapi na wapi? Watu wanaohitaji ushirika wako vijijini. Wakulima wa korosho wanapata tabu isiyoelezeka kwa nini wasifanyie maadhimisho kwenye eneo linalima korosho?
 
Kengemaji kweli we ni kenge,mnazi mmoja kuna kahawa?ama kuna lami,waache wafu wazike wafu wao hayatuhusu mpaka wasira atuoneshe alipopeleka trekta za misaada.IVI KENGE MAJI HUNA KAZI WEWE
 
serikali makini ingefanyia huu uzinduzi kule moshi kwenye chuo kikuu cha ushirika.
 
Kengemaji kweli we ni kenge,mnazi mmoja kuna kahawa?ama kuna lami,waache wafu wazike wafu wao hayatuhusu mpaka wasira atuoneshe alipopeleka trekta za misaada.IVI KENGE MAJI HUNA KAZI WEWE

Asante mzee....sina kazi mzee niajiri niwe nafanya usafi katika nyumba yako ya milion 30.
 
Mujwahuzia:
sherehe za ushirika kufanyika hapa Dsm ni kwa sababu Jengo kuu la wakulima likiwa na ghorofa zisizopungua 12 lipo hapo mnazi mmoja mkubwa wa nchi anafika hapo kwa urahisi akipanda hadi mwisho wa jengo hilo mawazo yake na ndugu zake Tanzania yote ya wakulima pamoja na shida zao anaziona akitokea huko juu.
 
huna jipya magamba 2 wewe

Tatizo lako unalazimisha kunipandikizia Ideology unazozipenda wewe, you have to respect my sovereign we are in a free and secular state. Kama hupendi michango yangu hapa JF achana nayo si lazima uchangie. Hapa JF tunao uhuru wa kutoa mawazo yetu kwa kuzingatia kanuni na sheria za Forum na kila mtu atachangia kadili anavyojisikia endapo atakiuka atahukumiwa na JF si wewe.
 
Back
Top Bottom