Breaking news: Mpaka wa Tunduma wafungwa vurugu kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news: Mpaka wa Tunduma wafungwa vurugu kubwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Mar 20, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  hapa tunduma mpaka umefungwa upande wa zambia kutokana na wamachinga wa tz kwenda kuuza bidhaa upande wao,na kuwapiga!hivyo wa machinga wa tz walioko upande wa tz,wakaanza nao kuwapa kipigo wazambia walioko upande wa tz.hivyo wazambi wameamua kufunga mpaka,ffu ndio wamefika,kuna foleni ya kufa m2.
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,517
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni sababu tu. Ukiona kuna vurugu, ujue kuna mzigo mkubwa unavushwa leo.
   
 3. N

  Nelson mlokozi Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka ilo nalo neno
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kumbe ndio mbinu inayotumika??
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hiyo border imekaa vibaya sana lazima iangaliwe kwa upya la sivyo itatuletea matatizo makubwa
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Alafu hawa wazambia wameyapiga mnada malori mawili ya waTZ kwa bei ya mbuzi Scania 112 kipisi na 124L semi jumla zimeuzwa kwa mnada kwa Sh.22 milioni kwa zote mbili ambapo ni Kwacha 45Milioni kwa kila moja
   
 7. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Endelea kutujuza..ni taarifa nyeti za kuhatarisha uhusiano wa nchi mbili endapo hazitadhibitiwa vurugu hizo..
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,494
  Likes Received: 5,593
  Trophy Points: 280
  You are Genius!
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kazi ipo
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Siamini kama imewahi tokea hii.... Huo ni moja ya mpaka ambao uko so peaceful na hao watu hujichanganya kabisa bila tatizo. Ni mpaka ambao mtu aweza vuka kwenda inchi nyingine na Migration wakakuangalia tu wapita. Sad...... I hope watarudi normal.
   
 11. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Inasikitisha taarifa hii.Asante kwa kutujuza.
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  poleni sana.
   
 13. N

  NimaA Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Asante kwa taarifa.
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  mmmmmh wao waje kuuza ila wenzao wasiende? imekaa vibaya ...hope ffu wataweza kuwatuliza...
   
 15. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Maduka ya black yote yamefungwa
   
 16. S

  Scofield Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Inakuaje FFU wafike mda huu ikwa kuna polisi wa uhamiaji muda wote ?Any way hii ni bongo so kila kitu si ni kuangalia hata siku moja hatuta ingia barabarani na kuandamana kwa matendo machafu yanayofanyika ktk nchi hii na tutaendelea kuonewa hivihivi,mara Umeme,Madaktari n.k.......why ?
   
 17. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Kwa mbinu chafu tu wabongo nawapa 100
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mbona siku zote wanaishi kama ndugu!
  Kuna kitu apo!
   
 19. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hao ffu ndio walewale waliong'oa bendera za chadema au wengine??
   
 20. k

  kaeso JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Itakuwa kama mdau alivyosema hapo juu, kuna mzigo unavushwa....lol!
   
Loading...