Matokeo ya Kura kuhusiana na Tbc

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
1.Jumla ya kura zilizopigwa-1298
2.waliokuwa na imani nayo ni watu 3 sawa na asilimia 0.02
3. Wasiokuwa na imani nayo ni 1290 sawa na asilimia 99.4
4.kura zilizoharibika ni 5 sawa na asilimia 0.58
my take
kati ya watanzania 709 mmoja ndio ana imani na Tbc kwa hali hii tbc itaendelea kupoteza watazamaji na wasikilizaji wengi kama isipojirekebisha
 
zilizoharibika ni nyingi kuliko zilizounga mkono hii ni hatri sana usikute hao waliharibu kura makusudi hata kuharibu kura is another way of sending message
 
Inawezekana hao watatu(3) waliosema wana imani naye ni mkurugenzi wa tbc na wakuu wa idara wawili (2)
 
Jopo la maafisa biashara wa TBC wameiona hii?inatakiwa iwape changamoto sana!!
Swali la wao kujiuliza!!Leo CCM wapo,nini kitatokea kesho endapo CCM haitakuwepo madarakani???Future yao ikoje?
 
Aibu tupu! kimsingi serikali inavuna dhambi ya kumdhalilisha Tido, fikiria kwenye Fainali za kombe la Africa ambapo zambia imekuwa bingwa, TBC haijawahi kuonyesha hata mechi moja wakati Tido yupo madarakani Hata Kombe la Dunia walionyesha mwanzo mwisho. Inavyoonyesha tatizo ni la kiuongozi zaidi, wengi ni wale wa kubana......... wakati wote!
 
Jopo la maafisa biashara wa TBC wameiona hii?inatakiwa iwape changamoto sana!!
Swali la wao kujiuliza!!Leo CCM wapo,nini kitatokea kesho endapo CCM haitakuwepo madarakani???Future yao ikoje?

Yaani unamaanisha CDM wakichukua nchi. future yao iko pale pale kwa sababu wale ni public servants they will transform their minds according to the public policy of the day wakiwemo na askari wa majeshi yote ila kuna baadhi watasitaafishwa kwa manufaa ya umma hasa wale top managers
 
Back
Top Bottom