Ofisi ya Mbunge yavunjwa na kuibiwa kompyuta na nyaraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi ya Mbunge yavunjwa na kuibiwa kompyuta na nyaraka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Paparazi Muwazi, Mar 20, 2012.

 1. P

  Paparazi Muwazi JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari nilizopata toka polisi Magomeni ni kwamba ofisi ya mbunge mmojawapo wa Manispaa ya Kinondoni imevunjwa na kuibwa kompyuta na nyaraka mbalimbali. Kwa mujibu wa chanzo hicho wizi huo umetokea juzi usiku. Hatahivyo, chanzo hicho ambacho hakikuta kutaja jina kimeeleza kuwa kituo chao kimeelekezwa kuwa taarifa za kina zitatolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari hapo kesho.
   
 2. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hujawa na taarifa bado,sio busara kupost jambo usio na uhakika nalo! ILA
  Ninasuspect watakuwa CDM hao ila sina ushahidi ninashuku tu! nawaomba polisi waanze na hiki chama maana kinatupa shida sana mitaani.
   
 3. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,263
  Likes Received: 10,448
  Trophy Points: 280
  hii itakuwa operesheni ya kukamata mtandao wa wauza unga tu.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 4. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280

  Heri mimi sijasema kulikoni wewe unayeropoka tu. Una uhakika gani kama ni wa CDM; pale magomeni zipo ofisi za Mbunge wa Kawe (CDM), Mbunge wa Ubungo (CDM), na Mbunge wa Kinondoni (CCM);

  Sasa una uhauhakika gani kuwa ni Mbunge yupi aliyeibiwa na pia ni wafuasi wa chama kipi waliohusika kama kweli itikadi za kisiasa zipo.

  Acha kuropoka ndugu yangu usije valishwa SHANGA NA KHANGA MOJA MCHANA KWEUPE NA UKAPITISHWA UNASHANGILIWA BARABARANI  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 5. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Akili za kuazima hizi.
   
 6. T

  TOWASHI JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kuna mtu hapa jamvini alikuwa na kausemi kake kuwa " A silent fool is counted wise". Ungekaa kimya tu tungekosea kudhani kuwa una busara
   
 7. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Huyu akili zake zilifukiwa na Sheikh yule aliyekuwa anawaongoza.
  Mtu anakurupuka utafikiri kashikiwa mtutu.
  Akili za makada utaziona tu, hata signature yake.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  naomba awe wa ccm
   
 9. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Kama ulisuspect mbona hukuileta kama tetesi? Na hiyo notion yako kuwa ni CDM umeitoa wapi, na inakusumbua wewe na nani huko mtaani? Na hiyo signature yako, kipimajoto umeendesha lini na kwa vigezo vipi?
   
 10. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Basi itakuwa ofisi ya Idd Azzan
   
Loading...