Ni kweli ajali hazina kinga?

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Crazy Tz driver.jpg

Kuna msemo unaosema, 'Ajali haina kinga'. Hata hivyo hapa Tanzania inaelekea kuwa msemo huo mara nyingine si sahihi. Ajali zingine zinaletwa na watu wenyewe, hasa ajali za barabarani. Hebu muangalieni huyu dereva anavyotaka kupita magari mengine wakati mbele yake kuna magari mengine yanakuja. Dereva kama huyu anatakiwa anyang'anywe leseni na kufunguliwa mashitaka kwa kuhatarisha maisha ya watu wengine.
 
Hapo anawahi ameambiwa kitimoto iko tayari inapoa so lazima afanye haraka
Hapo hakuna dereva kabisa aise
 
Back
Top Bottom