Mkaguzi mkuu wa hesabu za mahakama akutwa maiti!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkaguzi mkuu wa hesabu za mahakama akutwa maiti!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mvaa Tai, Mar 20, 2012.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nipo hapa mahakama watumishi karibu woote wako katika hali ya Majonzi kwasababu Mkaguzi mkuu wa hesabu zao amekutwa ndani kwake amefariki kwa kile wanachodai kujinyonga, inasemekana alikuwa anaishi peke yake hakuwa na familia hivyo maiti yake imekutwa ndani kwake ikiwa inaanza kuoza. Nafuatilia sababu hasa za kifo chake japo watu wengi wanadai kajinyonga.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Habari ya kusikitisha sana hii.
   
 3. m

  mhondo JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mahakama ya wapi na anaitwa nani?
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nimepata jina lake moja tuu anaitwa Benson kabla ya mahakama alikuwa mkaguzi Mkuu wa ndani wa hesabu za Msajiri wa vyama vya siasa
   
Loading...