Nba na hasheem thabeet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nba na hasheem thabeet

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by supermario, Mar 20, 2012.

 1. s

  supermario Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama tayari amejadiliwa hapa sawa lakini kila siku habari zinabadilika. Taifa limepata bahati ya kuwa na mchezaji kwenye ligi ya juu kabisa duniani katika mchezo wa kikapu.(NBA). Ndoto za kila kijana wa kiume ambaye ni mpenzi wa mchezo huo nchini marekani ni kushiriki hiyo ligi na sio wote wanapata hiyo nafasi.
  Ndugu yetu kaipata ila cha kushangaza ni hatuoni juhudi zake kabisa katika huo mchezo kama walivyo wengine. Kuna wengine kama kina Mutombo ambao wametoka kwenye mazingira magumu zaidi ukilinganisha na hasheem ( mutombo kapitia vita na hali mbaya zaidi kimaisha) lakini alivyopewa hiyo nafasi akakomaa nayo na mengine yote yamekuwa historia.
  Hasheem kapata nafasi kubwa sana ila sijui na sio peke yangu bali wengi sana pia hatujui ni nini hasa kinafanyika kibaya kwa kijana wetu kuto shine kwenye mchezo huo na kupata mafanikio makubwa.
  Sio kama ni maneno mengi bali tuu kuwa na ile concern kama binadamu ni kipi hasa tatizo? kijana hazingatii kazi au tayari ndo katoka kimaisha hana shida?
  2009-2010 mwaka wake wa kwanza NBA hakufanya fresh
  2010-2011 Houston Rockets kachemka
  2011-2012 Portland Blaizers
  Je huko nako akichemka inakuwaje?
  Watu wamekuwa wakihoji kila siku uko home na mapicha kibao facebook na twitter vipi?
  anamind anasemwa ovyo, je unadhani kijana atapata tena nafasi nyingine kama akiharibu hapa alipo now au naye kasha funguka na kujua kuwa ndo last chance hapa na kufanya maajabu?
   
 2. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni ulimbukeni na ubishoo wa kibongo! Hakuna kitu hapo!
   
 3. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  you can't resist nature, this is what we are all
   
 4. l

  luckman JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  ujinga tu umemponza, ni yeye tu anayejirudisha nyuma na akina Jocket, huu si ushenzi kila mwezi yupo Dar aonekane anatesa , ujinga mtupu na kama hatabadilika na kuacha ukichaa wa kaitanzania atachemka mi nawaahidi, mfatilieni dogo wa zanziba anayecheza chelsea, yuko committed to the maxmum ila huyu mmmm!
   
 5. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  hasheem amekwisha, yeye arudi makongo akacheze mpira
   
 6. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Karibu home Tz uvae jeans makalioni - ujiunge na kanumba mcheze sinema, uwe rafiki wa magazeti ya udaku.
   
 7. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Arudi Sinza akafungue saloon basi ndo kazi anawezakufanya
   
Loading...