Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Posted on March 28, 2012 by zanzibaryetu Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakisikiliza majumuisho ya mswada huo... Hatimae wajumbe wa baraza la wawakilishi leo walipitisha kwa sauti...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika magazeti kipindi cha asubuhi breakfast.Wanadai eti wanakirumba wamchague kijana ambaye ni mzawa.Sasa mimi najiuliza hivi Clouds fm wanamjua Jaki Masamaki mgombea udiwani kata ya Kirumba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siri ya furaha ni kuwa na ukombozi na siri yaukombozi ni ushupavu. Hakuna ukombozi unaopatikana kwa gharama rahisi. Uhuruunawezekana lakini ukombozi unapiganiwa. Naweza kusema kwamba uhuru ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tbc imepigwa stop nzito ya kusoma magazeti ya mwananchi,majira,nipashe,msemakweli,sababu kubwa iliyotolewa ni kwamba haya magazeti yanaongeza upinzani kwa ccm hasa huko Arumeru,cha kushangaza...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Asp Paulo Mng'ong'o aliyekuwa mkuu wa Polisi Serengeti ambaye pia siku kadhaa zilizopita yeye, Afisa usalama Wilaya hiyo Said Musa na askari wengine walivamia hifadhi ya taifa ya serengeti na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepata tu taarifa kuwa inapatikana rukwa ila sijajua wilaya ipi na ni sehemu gani msaada wenu plz! Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumatano Tarehe 28/03/2012 saa 2 usiku ktk taarifa ya habari kutoka kituo cha television ITV kimetaarifu na kuonesha ndugu, jamaa na wakaz ktk eneo palipo makabur matano ya walio kua wenzao lkn...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna habari zimezagaa hapa jijini Mwanza kuwa kulikuwa na mgomo ambao ulitakiwa kuanza mida ya saa mbili asubuhi, kuna waliokubali kuanza mgomo ila kuna wengine ambao walikaidi. picha hii...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, jana nimepata habari ya kusikitisha sana. Kama tunavyojua wakazi wengi wa Dar es Salaam and i think mikoa mingine pia tunapeleka watoto wetu shule ambazo zina school bus kwa ajili ya...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Wadau, Nilikuwa hospitali ya mwananyamala kumjulia hali ndugu yangu aliyelazwa pale. Kwakweli nilichokishuhudia wodi ya watoto ni cha kusikitisha sana. Watoto wamelazwa watatu kila kitanda...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF, kama kuna mtu mwenye kujua ule mradi wa mji wa Luguruni -wilaya ya Kinondoni umeishia wapi? ninachofahamu watu walishalipwa fidia siku nyingi sana lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeibua tuhuma za ufisadi wa Sh2.7 bilioni katika mradi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa Gongo la Mboto, Dares Salaam uliopaswa kufanywa na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
niliwamissi wapendwa naona liebeneeke kama kawaa teehhh
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni mida ya saa sita leo kama movie ya kanumba kija mmoja alipofika term 1 pale airport kumpeleka dadayake .baada ya hapo akaamua kununua tkt ya coastal kwa ajili ya mkewe ilichukua kama muda wa dk...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kutokana na ongezeko la bei ya maegesho ya magari hususani daladala madereva wa daladala wameamua kuweka magari yao kando. Watu wanaangaikia wanatembea kwa mguu masafa marefu: Je...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Toka mwanzoni kabisa huyo babu alionekana kabisa kuwa yuko zaidi ki-jasiriamali. Hapa namaanisha huyo babu alikuwa mfanyabiashara wa kawaida tu aliyebuni biashara ya kuuza 'juice' ya mizizi, na...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
JINA LA SCHOLARSHIP: Macquarie University International Scholarship UTANGULIZI: Macquarie University International Scholarship (MUIS) ni scholarship kwa ajili ya wanafunzi wa shahada ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Niliposoma mawazo yako kile ulichokinena na kile unachokiamini nakubaliana na wewe uraisi si umri, hii nikutokana na ukweli kwamba wengi wa viongozi wenye umri mkubwa wameonyesha kushindwa na hata...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanandugu habarini za jioni muda si mrefu nimepita pale daraja la kawe kuna sehemu wanauza mikate aka royal oven wazee wa kazi wamevamia ikabidi wengine tuingie kushoto kutafuta sehemu ya...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando Joseph Zablon AGIZO la Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mashirika ya Umma (POAC), limegonga mwamba baada ya...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Back
Top Bottom