Mradi wa mji wa Luguruni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa mji wa Luguruni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by beko, Mar 29, 2012.

 1. b

  beko Senior Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wana JF,
  kama kuna mtu mwenye kujua ule mradi wa mji wa Luguruni -wilaya ya Kinondoni umeishia wapi? ninachofahamu watu walishalipwa fidia siku nyingi sana lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea. Mwenye update please naomba mtujulishe.
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wewe hujui?
  Miradi mingi uliyowahi kuisikia, itaanza kutekelezwa kipindi hiki cha kuelekea 2015 ili wakubwa wapate cha kuongea.
  Hii DART project, feasibility study na designing yake ilikamilika 2005, na ilitakiwa magari yawepo barabarani by 2008 kwa route ya Kimara-Ferry kwani WB walikuwa wameshatenga fungu hilo lakini wakubwa wakasema ngoja kwanza.
  Leo miezi 39 kabla ya uchaguzi mkuu, 2015 ndio tunaambiwa ujenzi wa miundombinu yake unaanza na utakamilika ndani ya miezi 36.
  Yaan hata picha huioni?
   
 3. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Twendeni tukavamie kama tunavyoingiaga mapori ya Kisarawe
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Miradi ya sirikali si ya papo kwa papo ni long term wakikwambia wataanza mwaka ujao basi hesabu miaka 10 hapo!
   
 5. b

  beko Senior Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ni kweli mkuu, kabla ya 2015 tutasikia ahadi lukuki, zile ahadi za kikwete za 2010 zilifikia thamani ya trilion 90 sasa sijui ccm itasema nini 2015
   
Loading...