Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zaidi ya shillingi za TZ billion tatu zilizotengwa kwa ajili ya kujenga machinjio ya kisasa jijini Dar yameyeyuka pasipo majibu mara baada ya kamati ya bunge ya serikali za mitaa mh Agustine Mrema...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Vimini, milegezo marufuku CBE Imeandikwa na Aron Msigwa, Maelezo; Tarehe: 28th March 2012 @ 15:30 KAMPENI ya kupinga mavazi yasiyo na heshima imeingia katika sura mpya baada ya uongozi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wachumi waipiga kombora Serikali mbele ya Kikwete NI WA KUTOKA CHINA NA VIETNAM, WASHANGAA MFUMUKO WA BEI WASEMA TATIZO NI VIONGOZI KUWA NA MANENO MENGI KULIKO VITENDO Send to a friend...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nadhani wengi tutakuwa tunakubaliana kwamba Kampeni za Kumpata Rais wa Taifa letu katika uchaguzi wa mwana 2015 zimepamba moto tayari. Napendekeza tuanze kuangalia na Chaguzi za Mbele hasa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
SHAHIDI wa tano upande wa utetezi katika kesi ya uchaguzi mkuu wa ubunge katika Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam, Protas Tarimo amekiri kuwa sheria ya uchaguzi ilikiukwa. Shahidi huyo...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
HAYA HAPA NI MALALAMIKO YA WANANCHI KWA IGP...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani kwa aliyenaufahamu kuhusu pugu juu ya vigezo hivi naomba aniambie; ¤sehemu ilipo.mkoa,wilaya,kata,na mtaa ¤sare wanazovaa. ¤na lolote ambalo ungependa kunijulisha kuhusu shule hii...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Atn
Wanaboa sana...kipindi cha mpira ndo mitambo yao wanaikorofisha
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Umeme umekatika ili tusione mechi ya Barcelona na AC milan!! Hizi ni mbinu chafu za Ngeleja na CCM yake!!!
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Wapi tena hapa vile?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada kuhusu shule ya bihawana sec skul. Inapatikana wapi? Mkoa,wilaya, kata na mtaa? Je ipo near na makinda? Sare wanazo vaa? Walimu wapo lakini? Shukrani!
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Hivi kweli inaingia katika akili ya wtz Tanesco wanapodai kua mgao wa umeme utaanza upya? Tumeme ulipanda bei Tanesco wakidai ghalama za uendeshaji zimepanda Inakuaje sasa wanashindwa kuyalipa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kufuatia mwenendo wa kesi kumwendea vibaya Dr. Milton Makongoro Mahanga, hali yake ya afya imeyumba na kumpa wakati mgumu kuanza kujitetea mahakamani, hadi hivi sasa kesi inaelekea kuwa njema kwa...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Wakili nguli jijini Arusha,Mediani mwale amezidi kuwalalamikia wanasheria wa serikali wakiwemo maofisa wa polisi wanaomfuatafuata katika gereza la kisongo akidai kuwa wanataka kumuu,kwani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Skendo ya ngono inaitikisa Kanisa la Katoliki, Parokia ya Mburahati lililopo wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam na kusababisha mgawanyiko mkubwa kwa waumini.Uchunguzi uliofanywa na mwandishi...
3 Reactions
58 Replies
19K Views
Baada ya tahariri ya leo ya gazeti la serekali la habari leo kuchapishwa. viongozi na vyombo vya habari vya kiislam vimekuja juu. Leo asibuhi karibu ya vyombo vyote vya habari vya kiislam...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale wenzetu waliokuwa na kiu ya kuisikiliaza radio namba moja Tanzania Radio Free Africa sasa inapatikana kwa mtandao wa intaneti kwa kubonyeza hapa Radio Free Africa Tanzania |  RFA Live...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
unalijua hili gari hizi si kwamba ziko garage la hasha ziko kwenye parking ya serikali tena wizarani lakini kama ujui gari hizi ziko kwenye hesabu za mafuta kila siku pamoja na kuonyesha hali yake...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza polisi kituo cha Chang'ombe wameanza kuuza hisa kwa wahalifu ili nao wawe sehemu ya jeshi hilo. Hii iko hivi, kuna watu wanatengeneza document feki za kuibia mizigo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani napenda ku-declare interest kuwa mimi ni mtumishi wa umma katika Idara ya Afya.. Lakini,tuseme ukweli... Katika idara ambazo inasemwa ni kazi za wito,yetu na ya Waalimu,tunanyanyasika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom