Royal Bakery ya JKT Kawe yavamiwa na majambazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Royal Bakery ya JKT Kawe yavamiwa na majambazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 28, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Wanandugu habarini za jioni
  muda si mrefu nimepita pale daraja la kawe kuna sehemu wanauza mikate aka royal oven
  wazee wa kazi wamevamia ikabidi wengine tuingie kushoto kutafuta sehemu ya kusalimika
  badala ya kuendele moja kwa moja kwenda kawe

  ninavyoongea nimejisalimisha kwa ndugu yangu huku nyuma uwanja wa golf lugalo sijui kinachoemdelea lakini jamaa wanaendelea kuzirusha angani nilipo sio mbali sana...
  Kama uko njian kupitia njia hii tafadhali pitia lugalo pengine wakapenda gari yako ukarudi nyumban na bajaji na kunikumbuka

  loh
  sijui kimeendeleaje
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tabu kweli kweli!

  Maisha bora kwa kila Mtanzania ndiyo hayo sisiem imetuletea!
   
 3. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Mkuu ndio wewe uliyefyatua cha mwisho nini maana kimetoka kama ak47....
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ajira za Nape hizo anazosema sio bomu la taifa!!mtaji wa masikini nguvu zake mwenyewe!!!
   
 5. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Ee wameiba mikate na keki?

  Naona ile Royal Oven mkosi mtupu, mara salmonella kwenye mayai na sasa hivi ujambazi wakati hata hawajakaa vizuri.

  Au kuna jengine linaloendelea hatulijui?
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Du yani majambazi wanafyatua risasi maeneo ya jeshi lugalo na wenyewe wapo kimya tu? Tanzania zaidi ya uijuavyo!
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ni aibu ujambazi kufanyika hapo royal oven maana wako hatua chache toka makao makuu ya jeshi! Aibu.

  Na huu ujambazi ni muendelezo wa matukio yenye utata kutokea hapo roya oven. Hapo nyuma (kama mwaka na ushee hivi) kuna watu walikula egg-chops na wakadhurika. Lakini kuna habari kuwa hizo egg-chops hazikutengenezewa hapo royal oven. Ila ni toka kwa mjanja-mshindani! Sasa ujambazi unatokea, tena karibu na makao ya jeshi!
   
 8. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  hayo majambazi ni jkt.haiwezikani kama kweli majambazi yakajipeleka yenyewe jeshini.
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Pale darajani ni karibu kabisa na kambi ya jeshi, nadhani hao ni wanajeshi ambao wapo mafunzoni hivyo wanafanya mazoezi ya vitendo kwani posho wanayopewa haiwatoshi.
   
 10. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Habari nilizozipata ni kuwa wanajeshi wameibuka kama makomandoo na kuwakamata jamaa kama kuku wawili wameuawa hadi sasa
   
 11. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  una laana kweli wewe teehhheteeehhh nimecheka mpaka nikajuta kwa nini na mimi nisiombe hiyo ajira wapi wanapeleka cv zao
   
 12. e

  evvy Senior Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oyaa hapo c kuna jeshi....
   
 13. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Jamani kwanini huyu Exaud Kiwali wanamuonea hivi... Ewe mpinzani wa Exaudi tena ulishawahi kushika madaraka makubwa serikalini,kwanini unamfanyia hivi???
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Poleni sana kama kuna yaliyojificha jaribuni kuyasawazisha,maana kifuatacho kitakuwa hatari sana!!
   
 15. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  majambazi ya tanzania yameishiwa kweli yaani wanaenda kuvamia sehemu za kuuzia vitumbua kweli tanzania hali ni ngumu sana unaweza kuuwawa kwa sababu ya mandazi na keki
  1.jpg
  2.jpg
  mdada akilia baada ya kupigwa vibao na majambazi ,yaliiba pesa zote na kukomba baadhi ya vitu na walet za wazungu waliokuwa wanajipatia vinywaji hapo.
  Je Tanzania ni nchi ya amani bado?
  NOPE;
  source-michuzi
   
 16. jebs2002

  jebs2002 JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 4,420
  Likes Received: 2,450
  Trophy Points: 280
  Hapo ndio ujue polisi na FFU wetu walivyo ovyo na kupenda virahisi, ingekua wanafunzi au wananchi wameandama, mbona ingekua mshike mshike! Ila wapuuzi walio na vibastola wenye njaa kali wameshindwa kuthibitiwa, mbele ya jeshi la JKT! Bure kabisa, ina maana pale jeshini hakuna ulinzi? Kazi kubwa ya wakubwa pale ni rushwa, kuendesha mashangingi na wale wanajeshi kupiga watu wa daladala tu! Wao sio kutulinda, bali kutuonea tu!
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Mbona siku zote barabara hii siyo salama kupita!, ukipita usiku hapa mlalakuwa unakuta wezi wameweka mawe brbrn, ukisimama umeliwa.
   
 18. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  pinti ya marekebisho: Makao makuu ya jeshi yapo upanga.
   
Loading...