Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuwa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama chake katika Uchaguzi wa ndani wa...
Katika hali ya kushangaza treni la Kampuni ya Reli (TRL) iliyokuwa ikitoka Mpanda kuelekea Tabora Machi 23 mwaka huu, iliishiwa wese (mafuta) katikati ya pori na kuwaweka roho juu abiria waliokuwa...
Prom Dress Rules:
Photo by: promgirl.com
Prom dress fail.
Too low! Slit!
Prom is supposed to be a fairy tale evening, and some teenage girls (and boys) spend their entire senior...
MTOTO ALIOMBA DUA MBELE YA WAGENI:-
Eeeh mungu! Nakushukuru kwa kunipa wazazi wakarim,nakushukuru kwa kuwaleta wageni hawa waliomaliza chakula changu,naomba usiwalete tena wakati...
Jamani natafuta kuwasiliana na viongozi wa chama hiki toka December mwaka wa jana bila mafanikio, nimejaribu kuandika barua pepe kupitia anuani zilizoandikwa kwa tovuti yao bila majibu, ni vipi...
Moto ambao chanzo hakijajulikana umelipuka katika baadhi ya maduka ya soko Kigoma mjini!
Kikosi cha zimamoto na polisi wamewahi na kuudhibiti moto huo. Wenye maduka yaliyo ungua hawajapatikana...
Golikipa wa timu ya Soka ya MORO UTD leo alizimia uwanjan wakat mchezo ukiendelea,
Kutokana na kutokuwepo kwa gari la kubebea wagonjwa 'AMBULANCE' hapo uwanjan,mchezaj huyo alipandishwa kwenye...
Huyu ni kada ccm na mkuu wa wilaya ya mahenge,baada ya askari polis kuua raia wawil na kujeruh wengine watano huku wananchi wakishuhudia mkuu huyo wa wilaya ya mahenge mkoani morogoro anasema hiyo...
Ndugu wana JF naomba udadavuzi wa jambo langu hili kwa mwenye uelewa wa kutosha na jambo lenyewe
katika kukua kwa science na Techlonogia tuna shuhudia mtu anaweza kununa na kuuza kwa kutumia...
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda
Tangu kumalizika kwa mgomo wa madaktari wa hospitali za umma ambao walikuwa wanashinikiza kujiuzulu kwa Waziri wa Afya...
Yaani ni balaa, mafisadi wa Tanzania wanawaibia hadi wale waishio nje ya nchi. Katika utafiti wangu nimeshangazwa sana na hizi rates za kupiga simu Tanzania toka Marekani (Linganisha na jirani...
Mara baada ya mgomo wa madactari kugoma ile mara ya pili walijitokeza, baadhi ya vibaraka na kujiita wanaharakati wazalendo na kusema eti wanafungua kesi dhidi ya maprofessional, so hii kitu...
Tangu apate barua ya kuwa aondoke katika taasisi ya chakula na lishe yapata wiki mbili sasa Bwana Ndossi anaendelea kuzura zurura katika maeneo ya taasisi hiyo kwa kisingizio kuwa anafunga mizigo...
Kama uliwahi kusikia rocket kubwa ya kwanza kurushwa kwenda mwezini July 16, 1969 ilikuwa inaitwa APOLLO 11.yaap hiivi karibuni bwana Jeff Bezos amegundua moja ya injini kubwa kati ya tano...
kuna jamaa kanipigia simu leo hii kutoka Biharamuro huko kagera, anasema kuna wafanyakazi wanne wa immigration hapo mjini kwao, wamekamatwa kufunguliwa kesi mahakamani kwa kosa la kuwapatia vibali...
Kimsingi narejea hali halisi ambayo nchi yetu imekumbana nayo toka tulipopata uhuru
Vijana wengi wenye moyo walisahauliwa katika nafasi za kiuongozi na kimamlaka huku wakipoozwa na maneno ya...
Katika kujaribu kufikiria kuhusu jiji la Dar es salaam hususan msongamano na vurugu Kariakoo, nikapata wazo gumu la kufunga soko la Kariakoo. Linaweza kugeuzwa kuwa ofisi au kubomolewa na kuwa...
TUKIO HILI LA KUSIKITISHA LIMETOKEA JUZI KATIKA HOSTELI ZINAZOTUMIWA NA WANAFUNZI WA CHUO KIMOJA CHA uhazili AMBCHO KIPO MKOANI TABORA.AMBAPO WATU WASIOFAHAMIKA IDADI YAO WALIVAMIA HOSTELI HIZO...
Haruni Sanchawa na Gladness Mallya
MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi Utashinda, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako usiku wa kuamkia jana alivamiwa kanisani na kundi la watu wanaosadikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.