TBC marufuku kusoma magazeti ya Mwananchi, Nipashe, Majira, Msemakweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC marufuku kusoma magazeti ya Mwananchi, Nipashe, Majira, Msemakweli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Mar 29, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Tbc imepigwa stop nzito ya kusoma magazeti ya mwananchi,majira,nipashe,msemakweli,sababu kubwa iliyotolewa ni kwamba haya magazeti yanaongeza upinzani kwa ccm hasa huko Arumeru,cha kushangaza msoma magazeti anapewa magazeti yote lakini akifikia hayo waliyopigwa stop anayaruka,,uendeshaji huu utatupeleka wapi?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Huu Live Upumbafu by TBC MANAGEMENT!...Iam Done!
   
 3. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,745
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Tulikupenda sana TBC,lakini Uongozi wako umekupenda zaidi RIP!!!!!!!!
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  TBC iko hoi kifedha, lakini bado wanaendelea na mikakati ya kuiua. Sasa wananchi na hasa makampuni binafsi yanaweza kusaidia sana kuimaliza. Watu wasiwape matangazo kabisa. Hakuna matangazo mpaka itakapofanya kazi kama Television ya watanzania wote. Ruzuku ya serikali ni ndogo sana hivyo wakikosa matangazo safari ya kifo itaanza kwa kasi.
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwamba hayo magazeti au habari zinazohusu CDM ndizo zimeunguza vyombo vyao?
  Tupa kule tulisha wasahau long tym kitambo!
   
 6. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Uuuuwiiiiiiiiiiiii!
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hivi TBC bado ipo?
   
 8. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  ukiwa same, halafu mtu akakupa amri hakuna kusalimia watu kipare, huyo mtu hakutakii mema.
  Huyo mtu anataka ukose marafiki. Na katika hii dunia mtu akitaka ukose marafiki anakutakia kifo. Tbc wakitaka kupona waidharau amri hiyo. Amri hiyo si tofauti na amri ya kupiga mabomu waandamanaji wa kudai haki.

  Tbc wapate somo kutoka askari wa mbeya waliodharau amri ya kupiga mabomu machinga.

  Nchi hii haitaongozwa na ccm milele. Ni busara vyombo vya umma vikatambua hilo. Hao unaowapiga mabomu leo ndo haohao kesho watakuwa wanaamua kama nyumbani kwako kuna chai asubuhi au la.

  Wazo langu ni hili: Tbc tumieni tu maamuzi ya kitaaluma, kiasi kwamba mtu akiuliza kwa nini uliacha kusoma ukurasa wa gazeti fulani, uwe unaweza kutoa maelezo ya haki na kweli za kitaaluma. Vivyo hivyo ukisoma habari kutoka tanzania daima la mbowe, fahamu la lipumba, au lolote katika hiyo orodha, uwe na sababu za kitaaluma.

  Magazeti yote kwenye hiyo orodha yanao wanataaluma huko. Kwa hiyo habari zinazostahili
  kusomwa lazima zitakuwapo tu.

  Dharauni huo ujinga wa mfamaji.
   
 9. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  \
  Sasa kama sera ya kituo ni kutokusoma hayo magazeti kwa nini apewe? Labda kama utatoa maelezo ya ziada yenye kujitosheleza nitaamini lakini kwa hapa tulipo nahisi si kweli
   
 10. M

  Mitowo Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawana jipya, tangu tido kuondka hali imekuwa tete, kituo kimepotza mwelekeo kbsa.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hapa angetupa source ya habari hii........hiyo sentensi inaibua maswali mengi.
   
 12. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi siipendagi hii tbc kabisa yaani ni bora ife tu
   
 13. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  TBC aliondoka nayo mwanzilishi wake Tido Mhando pale alipokataliwa kuongezewa mkataba,RIP, TBC
   
 14. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Shku zote huwa nasema kuna watu humu wanapenda kitu bila kujiangalia wanapenda hicho walichokipenda kwa sababu gani! Hii habari inakandamiza upande fulani na kufurahisha upande mwingine ingawa maelezo yenyewe licha ya kuwa hayana kichwa wala miguu! Bali hayajitoshelezi kabisa! Haiwezekani magazeti tajwa hapo juu yapigwe marufuku kusomwa halafu wakati huo huo yaletwe kwenye meza ya matangazo! Huu kama si udaku basi hakuna udaku duniani! Na bado watu mmeichulia sirious, sote tunataka mabadiliko ila si kihivo
   
 15. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Source pls!
   
 16. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Muda wowote kuanzia sasa TBC1 itasitisha matangazo yake kutokana na kufilisika kifedha! Pamoja na hayo huu ni urasimu wa viombo vya habari kutosoma baadhi ya magazeti sikiliza hata Redio 1 Stereo siku za jumatano huwa pia nao hawasomi gazeti la Mwanahalisi! Sijui Saed Kubenea alimkosea nini Mzee Mengi?
   
 17. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,078
  Trophy Points: 280
  Juzi nimesikia TBC inataka kufungwa kwa sababu haina pesa za kujiendesha yenyewe na ruzuku wanayopata ni ndogo sana. Let it fade
   
 18. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,286
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  TBC kwanini siku hizi hata mipira WAnashindwa kuonesha??!

  Binafsi siwaombei TBC wafe, ila nawaombea wazinduke toka usingizini !!!!
   
 19. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,960
  Likes Received: 20,297
  Trophy Points: 280
  Ilipoanza kama TBC ilijipambanua kama chombo makini na kinachofanya kazi kwa weledi, baada ya muda kikajikuta kinarudi kuwa chombo kivuli cha Uhuru media. Binafsi, nilikuwa sipitwi na taarifa yao ya habari ya saa mbili, kwa sasa siifuatlii tena na ile tv kongwe imeanza kurudi kwenye mstari. Kwenye suala la kutosoma magazeti, hili sio tatizo sana, tunajua kuwa magazeti huwa yanatoa nakala za bure kwenye vituo vya luninga, si ajabu mtangazaji anabwagia yote yaliyopokelewa na kwa akili ya mhariri wake na mwongozaji wa kipindi hapaswi kusoma baadhi ya magazeti
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  watu wa Kibondo kuna zile radi za sh 20 tu bora mkatusaidia kupiga mitambo
  yake bora tubaki hatuna tv ya taifa
  kuliko kuwa na tv inayoligawa taifa na kuwanyima wananchi habari.
   
Loading...